King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Ngoja kimondo kimoja tu kishuke hapo kwa shemeji yako ndio utajua nani huwa anavishikilia huko angani
Unamtisha mtoa mada asihoji mkuu
Kuja kwa imani pia sio uthibitisho wa kuwa ni kweli , binadamu kapitia maelfu na mamia ya imani tofauti tofauti , kwa vipindi tofauti, hata hizi nazo zitapita tu ,yeye Mungu kwa ucomplex wake ka undwa na nani?Sayansi ya solar system and universe -galaxies ni complex sana ,wanasayansi wameshindwa kuelezea ilitokeaje na hapo ndipo imani ya Mungu inapokuja.
Hata wazee wetu wa zamani kupatwa kwa jua walihusisha mambo ya imani ila wanasayansi walikuja kujua ni nini na sasa wanaweza kujua lini itatokea hasi sekunde yake ,kitaalam wanasema ukishajua elimu ya kitu na kufaamu basi hapo imani inaondoka kwasababu tayari ushajua/ushapata ufahamu.
Ila kwenye kuundwa kwa ulimwengu wanasayansi hawajui kitu wanapiga adacadabra za Bing Bang tu.
Imani means kuamini kitu ambacho hauna uhakika nacho na ndiyo maana kila mtu ana imani yake!Kuja kwa imani pia sio uthibitisho wa kuwa ni kweli , binadamu kapitia maelfu na mamia ya imani tofauti tofauti , kwa vipindi tofauti, hata hizi nazo zitapita tu ,yeye Mungu kwa ucomplex wake ka undwa na nani?
Imani haina tatizo ,tatizo ni kutoa uthibitisho wa mambo kwa imani kuwa ni hakika na kweliImani means kuamini kitu ambacho hauna uhakika nacho na ndiyo maana kila mtu ana imani yake!
utakuwa ugumu wako asa huo maana makanisa yapo kilicho kufanya usiamini ni kipiUkiamini hayupo halafu ukakuta Yupo sio defence yako sasa? Utamwambia nilikua natenda dhambi kwa sababu nilikuwa siamini kama upo.. Wewe unae amini yupo halafu unatenda dhambi ndio utakuwa na kibarua cha kujibu
Wanniomba kwa sababu haijitosheleziHata wewe familia yako huwa wanakuomba huduma
Na hii njaa, mauaji, magonjwaAmekupa uhuru uishi utakavyo....hatashindana na ww kamwe taste ya maisha ndo ho mitihani.tupambane kuishinda .
So literally you mean same applies to animals, ndiyo lilikuwa swali langu la msingi. Will the animals face the same punishment according to their deeds?Sahihi. Wanyama wote wakiwemo binadamu, ndege nk wana hisia. Hisia nzuri na mbaya.
Hisia hizo upelekea tabia (characters) nzuri au mbaya.
Mfano: Biblia imesema katika vitabu vingi sana vya Solomoni, nyaraka za mtume Paulo, karibia kila kitabu. Imeweka wazi kuwa; hila, kiburi, ubinafsi, kijicho, tamaa, ujinga nk vitamuangusha mwanadamu.
Alikadharika; upendo, maarifa ya kweli, nidhamu, vitamlinda.
Swali langu: Je maisha ya mwanadamu ulimwenguni kote yametawaliwa na upande upi kati ya hizo?
Huwezi kuishi kwa chuki, hila, kiburi, tamaa, ujinga, uchoyo, wivu, ukaangamia kwa sababu zako mwenyewe. Alafu ukasema Mungu amekuangamiza.
Mungu ametupa uhuru wa kuchagua na alikuwa na makusudi. Ili kila mtu achague anachokitaka mwenyewe.
Plus vimwana 72 kwa kila njemba. Wakina mama sijui wao nao kila mmoja atapewa vijeba 72 au wao Firdau haiwahusu?Mkuu hata ahadi ya mito ya Gambe fildausi.. haijakushtua.!?
Wapi wameandikaBiblia na Quaran vimezuia mwafrika hasitengeneze gari? 😂
Huoni nauliza?Wapi wameandika
So why should animals be punished?So literally you mean same applies to animals, ndiyo lilikuwa swali langu la msingi. Will the animals face the same punishment according to their deeds?
Good umekiri kuwa haujui kinachoendelea 'kiroho' katika ulimwengu wa wanyama which translates that kwenye upande huo hapawezi kuwa na maoni yoyote tangible kutoka kwako.So why should animals be punished?
Wanyama wana dhambi gani? Hata hilo neno dhambi hawalijui.
Sheria iliwekwa kwa ajili ya mwanadamu kwa sababu yeye alipatwa kufunuliwa. Sijaona sheria kwa wanyama, na sijui kinachoendelea koroho katika ulimwengu wa wanyama.
Kwa mujibu wa biblia mungu ndio kafanya maovu mengi na makasiriko mengi kuliko shetani, yeye shetani karelax tu anafanya yakekama vita iliyopigwa huko mbinguni na Mungu akaibuka mshindi inamaana angeshinda shetani Leo hii tungekuwa tunamuabdu shety na kumkemea Mungu?
min -me
Huwezi ukamuomba mtu kitu ambaye hayupo/yesu acha ujinga,watoto wote huomba kwa baba uao wakiwawanamuonaHata wewe familia yako huwa wanakuomba huduma
Kama Mungu alishinda vita kwanini shetani bado ana nguvu?kama vita iliyopigwa huko mbinguni na Mungu akaibuka mshindi inamaana angeshinda shetani Leo hii tungekuwa tunamuabdu shety na kumkemea Mungu?
min -me
Mimi siamini ktk ukristo wala uislam naamini ktk mila za kabila ma ukoo wangu ila ninapoomba kwa Mungu mbona nafanikiwa sana tuMUNGU hajawahi kushusha kitabu,hahitaji nguvu kubwa hivyo kuelezea uwepo wake,ila anajidhihirisha kupitia mamilioni ya ishara
Waulize waandishi wa biblia Mimi nasoma kile kilichoandikwa kuwa mbinguni ilipiganwa vita na Mungu akashindaKama Mungu alishinda vita kwanini shetani bado ana nguvu?