Joh Makini alalamika kukosa sapoti kwenye wimbo wake

Joh Makini alalamika kukosa sapoti kwenye wimbo wake

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Msanii wa miondoko ya Hip Hop nchini Joh Makini, amelalamika kukosa sapoti toka kwa msanii mwenzake aliefanya nae wimbo.

Joh ameandika kwenye ukurasa wake wa X,

“Hii tasnia yetu bana kuna vitu vinafikirisha sana sometimes kufundishana uoga kwiingi mtu anakubali kushiriki kwenye wimbo kiroho safi unapofika wakati wa kushiriki promo kwa faida ya pande zote unakuta mtu kawekewa masharti magumu kama utajiri wa kishirikina!! #Formula”

Unahisi ni Msanii gani aliekataa kumpa sapoti kwenye promo ya wimbo wake?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Huyu mshua yupo kwenye gemu kitambo lakini nyimbo zake hazina vaibu kwa watu. Sijui anaimba nini? Sasa kama huyo jamaa yake hampi sapoti sie wengine tutaanzia wapi kumpa sapoti? Anaimba nyimbo hazieleweki
 
Joh kwa ukubwa alio nao hapa nchini kulalamikia promo ya msanii yeyote wa nchi hii ni kujishushia brand, labda kama anamlalamikia Davido au Chris Brown.
Naamin Joh hata akitoa collable na Simba la Masimba akakaa kimya inatoboa tu.
 
Chawa mwijaku yupo kwa kazi hiyo ampe mpunga nyimbo iende mjini[emoji23]
 
Kama Joh analalamika vipi kina Rapcha na kizazi chake?
 
Back
Top Bottom