Joh Makini alalamika kukosa sapoti kwenye wimbo wake

Joh Makini alalamika kukosa sapoti kwenye wimbo wake

John alibebwa Sana na Clouds pamoja na producer Nisher R.I.P wakajisahau na kuona wengine maboya walivyokuwa wanalalamika. Sasa twende kazi.
Adam Mchomvu ndio alikuwa kinara wa kuwabeba wasanii wa Arusha wakajiona wanaweza na ngoma zao za wahuni sasa hivi wacha waisome namba. Kucheza ni kwa kupikezana tu.

Ni ajabu kwa mwanamuziki wa level yake kukosa management ya kufanya promo kazi zake anabaki kutegemea gigs za washkaji. Fala tu nae.
 
Hakuna aliyebebwa bali uwezo. Arusha top wale A list unazungumzia Weusi na iliyokua N2N
Ingekua kubebwa rahisi basi hata waturutumbi wangekua kwenye A list
Wapo wasanii wengi tu wakongwe arusha hawakuingia kwenye A list, unahisi kwa nn hao tu?

Btw mwanafunzi mwenye akili sana hupendwa na walimu
 
kwa ukongwe wake,kitendo cha kuwaza kumshirikisha mbana pua kama huyo alikuwa kafikiri vibaya tayari.
 
Back
Top Bottom