Adam Mchomvu ndio alikuwa kinara wa kuwabeba wasanii wa Arusha wakajiona wanaweza na ngoma zao za wahuni sasa hivi wacha waisome namba. Kucheza ni kwa kupikezana tu.John alibebwa Sana na Clouds pamoja na producer Nisher R.I.P wakajisahau na kuona wengine maboya walivyokuwa wanalalamika. Sasa twende kazi.
Jay melodyUjumbe kwa baba zuri
Hakuna aliyebebwa bali uwezo. Arusha top wale A list unazungumzia Weusi na iliyokua N2NAdam Mchomvu ndio alikuwa kinara wa kuwabeba wasanii wa Arusha wakajiona wanaweza na ngoma zao za wahuni sasa hivi wacha waisome namba. Kucheza ni kwa kupikezana tu.
Ni ajabu kwa mwanamuziki wa level yake kukosa management ya kufanya promo kazi zake anabaki kutegemea gigs za washkaji. Fala tu nae.