Ndekrepha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 1,506
- 2,660
Umechambua vema, lakini hapa hatuongelei mziki wa chuga... hawa walishafika kwetu huku mjini.
Mziki wa chuga achia kina Chindo, Umbwa et al.
Umbwa ndio Chindo mkuu.
Chuga flavour ni muhimu kuizungumzia. Huwezi kuzungumzia Nako, Joh bila kutaja Chuga. Ndio misingi yenyewe.