Joh Makini, sitokusamehe kwa kutuharibia mziki wetu Nako 2 Nako Soldiers

[emoji122] [emoji122]
 
Hawa jamaa mashairi yao huwa sielewi wanaimba nini zaidi ya kuchanganya changanya maneno tu.
 
Nako to nako kaskazini. Hii brand eyes akiamua kuiinua hata na vijana wapya haitochukua muda kusimama. Atafute vichwa wa kuirudisha asili ya arusha ya hip hop. Sema uhuni usiwepo
 
Joh makini haez wafikia waturutumbi,watengwa, na katuulia nako to nako yetu. Yani kwa kifupi kina stoper, Davi, jcb,chindo, spacdawg. Na hapo kwenye hiyo weusi ndo anamlalia Isaa( Lord eyes), Isaa sijui kwann haskii anakomeshwa tu pale. Ye ni mkuubwaa kuliko huyo mwamba
 
Kweli kabisa. Na Isaa alikanywa Sana kuhusu kiuno bila mfupa hakuskia
 

1. Kwahiyo siku hizi girls kwenye hiphop wameongezeka.?

2. Kwahiyo hao wasioimba ngumu ‘wangapi’ wametoboa.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…