Joh Makini, sitokusamehe kwa kutuharibia mziki wetu Nako 2 Nako Soldiers

1. Kwahiyo siku hizi girls kwenye hiphop wameongezeka.?

2. Kwahiyo hao wasioimba ngumu ‘wangapi’ wametoboa.?
Nikianza na namba 1 gals wamekuwa wengi wakipenda huu muziki sasa.

2. Kusema kuwa ambao wamelegeza na kuacha kuimba ngumu ndio ambao wapo main stream na kwenye forums mbalimbali huko angalia nyimbo za ngosha fid q wazamani na sasa nitofauti, Jay MO ngoma kama pesa madafu, nisaidie kushare nk.. Ninyimbo fulani soft sio za kukaza kihivyo

Waangalie wasanii wanaoimba ngumu wakina one, niseme lunduno kabisa wapo wapi saiz ngoma zao kupenya kukaa kwenye main stream nitabu sana hata kukaa kwenye collaboration na msanii fula ni tabu kutokana na kukaza kwao lakini muangalie Zayed kabadilika angalia ngoma kama wowo, piga picha nk.. nimependwa na wadada na zimekaa main stream.
 

Ooh kumbe tunaongelea Bongo pekee!

Basi hujatoa mifano ya hao female hiphop artists walioongezeka, au unamaanisha washabiki.?

Well kina Fid na Moe hawakazi kama zamani, kwahiyo Zaiid ametoboa.?
 
Kwani yeye ndo alimlisha hiyo mihadarati iliyofanya apoteze umiliki wa kundi!? Labda ungeporomosha lawama kwa waliokuwa Nako2Nako wakashindwa kujisimamia wakati lordeyez yuko sober hadi "wakamilikiwa" na Joh Makin
 
Ooh kumbe tunaongelea Bongo pekee!

Basi hujatoa mifano ya hao female hiphop artists walioongezeka, au unamaanisha washabiki.?

Well kina Fid na Moe hawakazi kama zamani, kwahiyo Zaiid ametoboa.?
No hata mbele pia muangalie mtu kama Jigger, Nas, dre hawaimbi vitu vigumu tena mashairi ni soft sana siku hizi. Angalia ngoma kama kush ya dre ft akon..

Gals nazungumzia upande wa mashabiki nao siku hizi wamekuwa wakipenda Hip Hop siku zihi watu hawafoki kama zamani ndio maana watoto wakike wanapenda huu muziki.
 

We jamaa una madini mengi sana, sema hujui tu pa kuyaweka!

Kwahiyo kina Jigga wametoboa baada ya kulainisha michano, au ni muda tu ulifika.?

Ulitaka kina Mob Deep, Daz EFX, Lost Boyz, Naughty by Nature kwa enzi zao wafanikiwe kama sasa.... mbona hata kina Westlife walikuwepo na hadithi ni tofauti.!
 

Madini yapo mengi sana [emoji23][emoji23][emoji23] nina vitu vingi mpaka vinamwagika.. Game ya hip hop imebadilika sana kama meek mill alikuwa anachana kwa kelele lakini saiz anapiga verse nzr na katulia [emoji23][emoji23][emoji23] We saiz hadi tekashi mtt mdogo anakaa juu kwenye billboard hot 100, anawatukana watu kama kina future, meek nk..
 

Usinitajie kina Tekashi, kelele tupu hakuna kitu pale... sipendi michano ya kuzomewa vile kama ya Eminem.

Kwahiyo ndo hizo mnaita za kisasa..?
 
Umenikumbusha Camp langu la Suwa Side mferejini pale Uwanja wa Chuma Soweto ...yaani baada ya mechi lazima upake GV
Ar Chugs ni Kwere

Wapi Spark ???
Msududu mpaka Suwa??
RiP KinG Kola...
 
Lakini Diddy hajawahi mkubali kwasababu Eminem mtu anayemkubali ni 2pac watu wote wanao muhusudu 2pac kama legend Diddy hawapendi coz yy legend wake ni B.I.G

Ukweli mtupu, BIG was by far better than Shakur.... lyrically and flow kali.

Nasimama na Combs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…