John Heche abarikiwe, anauelezea upande wa pili wa Hayati Magufuli vyema sana

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam,

Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.

Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.

Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana.

Mungu Mbariki John Heche,

Asante Mungu pia kwa zawadi ya Mzalendo Magufuli.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
 
Kila awamu ilikuwa na mapungufu yake sababu hakuna aliyekamilika(ya 4 ya kidemokrasia na ya 5 Kidikteta) ila ya 6 imezidi sana.
 
Salaam,

Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.

Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.

Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana.

Mungu Mbariki John Heche,

Asante Mungu pia kwa zawadi ya Mzalendo Magufuli.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
Hata asingemtaja dhalimu magu kwa yanayokufurahisha, cdm huwa ina nyomi muda wote. Hata kipindi cha dhalimu magu bado cdm ilikuwa na nyomi la hatari.
 
Heche ni miongoni mwa wanasiasa waliouponda mno utawala wa Magufuli. Alibeza na kuapa kwamba mradi wa bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere na mradi wa SGR kamwe haitokaa ikamilike ,haitekelezeki na ni upigaji tu wa hela za walipa Kodi (huyo huyo Heche) unayempamba hapa. Uimarishaji wa ulinzi kwenye sekta ya madini Heche alifoka na kukataa wakati wa utawala wa Magufuli. Leo hii anasimama tena hadharani anakula matapishi yake.

Mnafiki kama walivyo wanafiki wengine tu.

Wanasiasa na shetani ni ndugu.
 
John Heche hajazungumzia upande huo,

Msije kuchukia pia Heche kwa kuongelea mazuri ya Magu 🙏
Heche anasema alimshauri wakati anataka kujenga Hydroelectric Dam kwamba atumie chuma cha mchuchuma lakini akadharau.
 
Heche ni miongoni mwa wanasiasa waliouponda mno utawala wa Magufuli. Alibeza na kuapa kwamba mradi wa bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere na mradi wa SGR kamwe haitokaa ikamilike ,haitekelezeki na ni upigaji tu wa hela za walipa Kodi (huyo huyo Heche) unayempamba hapa. Uimarishaji wa ulinzi kwenye sekta ya madini Heche alifoka na kukataa wakati wa utawala wa Magufuli. Leo hii anasimama tena hadharani anakula matapishi yake.

Mnafiki kama walivyo wanafiki wengine tu.

Wanasiasa na shetani ni ndugu.
Labda ndio ulikuwa misimamo wa viongozi wa juu wa chama chake🤔

Labda pia ni njia ya Kurudisha uungwaji mkono wa wananchi maana watu huwaambii kitu kwa habari za Magu.
 
Hata asingemtaja dhalimu magu kwa yanayokufurahisha, cdm huwa ina nyomi muda wote. Hata kipindi cha dhalimu magu bado cdm ilikuwa na nyomi la hatari.

Moja ya watu ambao huwa nawaona madishi yao yameyumba humu JF ni wewe, .........nyinyi mandondocha mlichokipata kipindi cha Magu ilikuwa HALALI yenu kabisaa...Mbowe angeendelea kuwatoa sadaka mpaka muishe bahati mbaya tu Lissu kasaliti
 
Back
Top Bottom