- Thread starter
- #21
Ni kweli ingawa hivi sasa anazunguka majukwaani akiongelea pia uzalendo wa MaguHeche anasema alimshauri wakati anataka kujenga Hydroelectric Dam kwamba atumie chuma cha mchuchuma lakini akadharau.
Ndio maana nasema ni mkweli amenyooka!