John Heche abarikiwe, anauelezea upande wa pili wa Hayati Magufuli vyema sana

Salaam,

Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.

Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.

Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana.

Mungu Mbariki John Heche,

Asante Mungu pia kwa zawadi ya Mzalendo Magufuli.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
CDM ni tegemeo la wananchi!
 
Mungu aliemuinua magufuli tunamuomba atuinulie kiongozi mwingine atakaeiongoza Tanzania. Sauti za vilio ndani ya mioyo ya watz ifike mbele ya kiti cha enzi mbingin
 
Sawa.

Lakini hiyo haiwapei uhalali CHADEMA kutuuza mazima.

Mfano mdogo, wataenda kuwafukuza(tetesi) Majaji wote, mapolisi wote, wanajeshi wote na kuwaleta mamluki wa Kizungu.

Baada ya hapo ni kuuzwa

Tumeshuhudia hayo Mahakamani wakati wa kesi ya Uhaini ya Laigwanaan Lissu, wakiwemo wazungu wanaosimamia michakato hiyo.

... kwa visasi vilivyoandaliwa vya CHADEKA na CHADREAMERS, tutauzwa
No Reforms, No Election.
 
Salaam,

Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.

Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.

Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana.

Mungu Mbariki John Heche,

Asante Mungu pia kwa zawadi ya Mzalendo Magufuli.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
Ni muhimu Heche na CHADEMA kwa ujumla wakasahau mabaya ya JPM kwa muda na kuanza kumsifia kwa yale mema aliyotenda ambayo wananchi wote wanafahamu. Kwa kufanya hivyo watapata sport kubwa sana.
 
Kuna mwingine aliwai kusema Tuna Rais wa ajabu haijawai kutokea na ni dictator uchwara.Itoshe kusema Kila mtu ana mtazamo wake kwenye jambo fulani ndo maana ata nchi ilivyo sasa kuna ambao wanakesha kutuaminisha nchi iko ovyo sana na kuna ambao wanakesha kutuaminisha nchi iko vizuri sana.Zakuambiwa changanya na zakwako.
 
Mtanikumbuka, akawabana wasiwepo bungeni na wasifanye siasa za majukwani
 
Salaam,

Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.

Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.

Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana.

Mungu Mbariki John Heche,

Asante Mungu pia kwa zawadi ya Mzalendo Magufuli.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
MNAFIKI SANA HUYU.CHADEMA SI NDIYO WALICHANGIA KIFO CHA JPM KWA KUMSAKAMA KILA KONA? LEO WANAMUONA MZALENDO ? PUMBA.......
 
Back
Top Bottom