Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 2,233
- 3,144
Ila amebadirika ukisikilza hotuba zake.Heche ni miongoni mwa wanasiasa waliouponda mno utawala wa Magufuli. Alibeza na kuapa kwamba mradi wa bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere na mradi wa SGR kamwe haitokaa ikamilike ,haitekelezeki na ni upigaji tu wa hela za walipa Kodi (huyo huyo Heche) unayempamba hapa. Uimarishaji wa ulinzi kwenye sekta ya madini Heche alifoka na kukataa wakati wa utawala wa Magufuli. Leo hii anasimama tena hadharani anakula matapishi yake.
Mnafiki kama walivyo wanafiki wengine tu.
Wanasiasa na shetani ni ndugu.