Vitu vingine havihitaji verification yoyote ile. Ikiwa ukweli upo, fuatilia mikutano ya CDM 2020 na ya CCM uone ni wapi watu walikua wanajaa.Unadhani kipindi cha magu nilikuwa naishi nje ya nchi kiasi kwamba siujui ukweli?
Mkuu nina ufahamu wa kutosha, wakati wa magu ni kweli alikuwa anapata wanaompenda, lakini bado kulikuwa na watu wengi walikuwa wanajazwa kwa nguvu ya dola ili kutoa taswira ya kukubalika sana. Wanafunzi wa vyuo, shule za msingi na sekondari ilikuwa lazima wapelekwe kwenye mikutano ya magufuli. Cdm ndio chama pekee kilichoendelea kupata nyomi la ukweli kwa ridhaa ya wahudhuriaji bila ghiliba yoyote.Vitu vingine havihitaji verification yoyote ile. Ikiwa ukweli upo, fuatilia mikutano ya CDM 2020 na ya CCM uone ni wapi watu walikua wanajaa.
Tofouti na saivi CDM Ina watu wengi sana, CCM haijazi tena watu bila wasanii kusomba wanafunzi kwenye mikutano yao.