Kila awamu ilikuwa na mapungufu yake sababu hakuna aliyekamilika(ya 4 ya kidemokrasia na ya 5 Kidikteta) ila ya 6 imezidi sana.Salaam,
Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.
Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.
Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana.
Mungu Mbariki John Heche,
Asante Mungu pia kwa zawadi ya Mzalendo Magufuli.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Karibuni 🙏
Hata asingemtaja dhalimu magu kwa yanayokufurahisha, cdm huwa ina nyomi muda wote. Hata kipindi cha dhalimu magu bado cdm ilikuwa na nyomi la hatari.Salaam,
Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.
Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.
Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana.
Mungu Mbariki John Heche,
Asante Mungu pia kwa zawadi ya Mzalendo Magufuli.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Karibuni 🙏
Hivi sasa wanapuyanga tu baada ya watz kugoma kuwaelewa kuhusu kumbagaza mzalendo Magu mlinzi wa raslimali za nchiUkimtaja magufuli, samia nayale marobot yake yananuna 😁
Awamu ya 6 haipo maana uchaguzi hajafanyika bado.Kila awamu ilikuwa na mapungufu yake sababu hakuna aliyekamilika(ya 4 ya kidemokrasia na ya 5 Kidikteta) ila ya 6 imezidi sana.
Hizi siasa za chuki mwanzilishi ni yeye.Kila awamu ilikuwa na mapungufu yake sababu hakuna aliyekamilika(ya 4 ya kidemokrasia na ya 5 Kidikteta) ila ya 6 imezidi sana.
Upande huo ni sawa,Hizi siasa za chuki mwanzilishi ni yeye.
Uzalendo gani wakati unaua watu?Upande huo ni sawa,
Lakini uzalendo Katika kulinda raslimali za nchi,
Abarikiwe sana
Tunamkumbuka kwa mazuri yake pekee.Mtanikumbuka 😁
Sahihi ila raia wanaambiwa awamu ya 6.Awamu ya 6 haipo maana uchaguzi hautafanyika bado.
Ni awamu ya 5 second half
Kidogo aifungie JF.Tunamkumbuka kwa mazuri yake pekee.
John Heche hajazungumzia upande huo,Uzalendo gani wakati unaua watu?
Heche anasema alimshauri wakati anataka kujenga Hydroelectric Dam kwamba atumie chuma cha mchuchuma lakini akadharau.John Heche hajazungumzia upande huo,
Msije kuchukia pia Heche kwa kuongelea mazuri ya Magu 🙏
Labda ndio ulikuwa misimamo wa viongozi wa juu wa chama chake🤔Heche ni miongoni mwa wanasiasa waliouponda mno utawala wa Magufuli. Alibeza na kuapa kwamba mradi wa bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere na mradi wa SGR kamwe haitokaa ikamilike ,haitekelezeki na ni upigaji tu wa hela za walipa Kodi (huyo huyo Heche) unayempamba hapa. Uimarishaji wa ulinzi kwenye sekta ya madini Heche alifoka na kukataa wakati wa utawala wa Magufuli. Leo hii anasimama tena hadharani anakula matapishi yake.
Mnafiki kama walivyo wanafiki wengine tu.
Wanasiasa na shetani ni ndugu.
Hata asingemtaja dhalimu magu kwa yanayokufurahisha, cdm huwa ina nyomi muda wote. Hata kipindi cha dhalimu magu bado cdm ilikuwa na nyomi la hatari.