Ni kweli ingawa hivi sasa anazunguka majukwaani akiongelea pia uzalendo wa MaguHeche anasema alimshauri wakati anataka kujenga Hydroelectric Dam kwamba atumie chuma cha mchuchuma lakini akadharau.
Bwawa la mwalimu Nyerere linazalisha umeme, SGR inafanya kazi.Labda ndio ulikuwa misimamo wa viongozi wa juu wa chama chakeπ€
Labda pia ni njia ya Kurudisha uungwaji mkono wa wananchi maana watu huwaambii kitu kwa habari za Magu.
Inategemea na sehemu anayoongelea mfano huko Rufiji ambako maelfu waliuwawa unaweza kupigwa mawe.Ni kweli ingawa hivi sasa anazunguka majukwaani akiongelea pia uzalendo wa Magu
Ndio maana nasema ni mkweli amenyooka!
Kazi ya Mungu hiiSalaam,
Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.
Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.
Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana.
Mungu Mbariki John Heche,
Asante Mungu pia kwa zawadi ya Mzalendo Magufuli.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
Ameona pia huweezi mtukana Magu jukwaani ukatibia,Heche ni mwalimu anasoma saikolojia ya wananchi na ndiyo maana anachomekea ya Magufuli. Ni kweli kila mtu ana uzuri na ubaya wake. Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli.
Labda kwa kutuletea wajukuu wa mama na kufukuza maasai ngorongoro bila kusahau kugawa bandari kwa wajomba!Hata Samia mtamkumbuka πΌ
Hizi siasa za chuki mwanzilishi ni yeye.
Saikolojia hii ilimuokoa Igoma baada ya wananchi kuzuia wale wavaa mask wasiondoke naye!Heche ni mwalimu anasoma saikolojia ya wananchi na ndiyo maana anachomekea ya Magufuli. Ni kweli kila mtu ana uzuri na ubaya wake. Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli.
alikua wap sku zote anasema leoSalaam,
Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.
Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.
Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana.
Mungu Mbariki John Heche,
Asante Mungu pia kwa zawadi ya Mzalendo Magufuli.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
Lete kaclip akimsema vizuri na kumpongeza JPM wakati akiwa hai. KARIBUSalaam,
Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.
Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.
Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana.
Mungu Mbariki John Heche,
Asante Mungu pia kwa zawadi ya Mzalendo Magufuli.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
Hajachelewa maana KUKIRI ukiwa hai ni hatua njema sana.alikua wap sku zote anasema leo
Magu hajafaLete kaclip akimsema vizuri na kumpongeza JPM wakati akiwa hai. KARIBU
Mimi namkubali hana visasi kwa Mbowe, Magufuli. Anaongelea points za Taifa, bila kejeli, uhuni, dharau kwa upande wa pili.Salaam,
Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.
Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.
Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana.
Mungu Mbariki John Heche,
Asante Mungu pia kwa zawadi ya Mzalendo Magufuli.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
Heche ni mtu mwema.Mimi namkubali hana visasi kwa Mbowe, Magufuli. Anaongelea points za Taifa, bila kejeli, uhuni, dharau kwa upande wa pili.
Anaongea facts. Haya kugombea unaibu Mwenyekiti alimuheshimu sana Mbowe, hajawahi kutumia matusi makubwa hata kwa Magufuli.
Salaam,
Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.
Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.
Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana.
Mungu Mbariki John Heche,
Asante Mungu pia kwa zawadi ya Mzalendo Magufuli.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
Chadema ni wanafiki. Heche ni mnafi na Mungu awalaani wanafiki wote? PUMBAVU ZAO!Salaam,
Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.
Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.
Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana.
Mungu Mbariki John Heche,
Asante Mungu pia kwa zawadi ya Mzalendo Magufuli.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
Wewe badala ya kuiga mema ya Magu,Chadema ni wanafiki. Heche ni mnafi na Mungu awalaani wanafiki wote? PUMBAVU ZAO!
Sijui hapa nijibu nini!Wewe badala ya kuiga mema ya Magu,
WEWE kazi yako ni kushangilia utekaji,
Bure kabisa!