Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 2,233
- 3,144
Ila amebadirika ukisikilza hotuba zake.Heche ni miongoni mwa wanasiasa waliouponda mno utawala wa Magufuli. Alibeza na kuapa kwamba mradi wa bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere na mradi wa SGR kamwe haitokaa ikamilike ,haitekelezeki na ni upigaji tu wa hela za walipa Kodi (huyo huyo Heche) unayempamba hapa. Uimarishaji wa ulinzi kwenye sekta ya madini Heche alifoka na kukataa wakati wa utawala wa Magufuli. Leo hii anasimama tena hadharani anakula matapishi yake.
Mnafiki kama walivyo wanafiki wengine tu.
Wanasiasa na shetani ni ndugu.
SahihiNi kweli ingawa hivi sasa anazunguka majukwaani akiongelea pia uzalendo wa Magu
Ndio maana nasema ni mkweli amenyooka!
Kiongozi kuwa na ndimi mbili sio jambo jemaIla amebadirika ukisikilza hotuba zake.
Lini utaelewa lakini? Kwahiyo kuna Rais alieingia madarakani akakuta hakuna kitu kinachobidi kuendelezwa. Kwanza inabidi ujue na kukubali kua Mama Samia ni mtu mwema na kiongozi mzuri maana ameweza kuhakikisha Taifa alisimami.Magu hajafa
Maana kazi zake zinaongea,
Sasa hoja yako imekosa mashiko rasmi.
Rudia kusoma mstari wa mwisho ulimaanisha nn?Lini utaelewa lakini? Kwahiyo kuna Rais alieingia madarakani akakuta hakuna kitu kinachobidi kuendelezwa. Kwanza inabidi ujue na kukubali kua Mama Samia ni mtu mwema na kiongozi mzuri maana ameweza kuhakikisha Taifa alisimami.
Uzalendo wa Nchi yake ni kuwateka kama inavyofanyika Sasa au? 😆😆Salaam,
Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.
Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.
Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana.
Mungu Mbariki John Heche,
Asante Mungu pia kwa zawadi ya Mzalendo Magufuli.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Karibuni 🙏
Aliyesema Magu alikuwa mzalendo Katika kulinda raslimali za nchi ni Heche.Wafuasi wa Magu acheni kutafuta furaha kupitia migongo ya wasaka haki nchini.
Yeye ndo alizidisha matendo ya utekaji na kupoteza watu ambayo leo yamezidi mara 10
Tafuta kamusi utaelewaRudia kusoma mstari wa mwisho ulimaanisha nn?
"ameweza kuhakikisha taifa alisimami"Tafuta kamusi utaelewa
Kuandika hayo yote kuhusu Heche bila kuweka ushahidi wa video ni uzushi ambao hata AI inaweza kufanya.Heche ni miongoni mwa wanasiasa waliouponda mno utawala wa Magufuli. Alibeza na kuapa kwamba mradi wa bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere na mradi wa SGR kamwe haitokaa ikamilike ,haitekelezeki na ni upigaji tu wa hela za walipa Kodi (huyo huyo Heche) unayempamba hapa. Uimarishaji wa ulinzi kwenye sekta ya madini Heche alifoka na kukataa wakati wa utawala wa Magufuli. Leo hii anasimama tena hadharani anakula matapishi yake.
Mnafiki kama walivyo wanafiki wengine tu.
Wanasiasa na shetani ni ndugu.
Heche anaongelea uzalendo wa Magu karibu Kila sehemu awapo jukwaani,Kuandika hayo yote kuhusu Heche bila kuweka ushahidi wa video ni uzushi ambao hata AI inaweza kufanya.
Ndugu Rabbon , uwe makini kabla ya kuandika na kupost.Heche anaongelea uzalendo wa Magu karibu Kila sehemu awapo jukwaani,
Labda kama SI mfuatiliaji wa NRNE.
Ingia U-tube skiza hotuba ya Jana morogoro
Waliouza bandari na kufurusha maasai ndio vibaraka wa mabeberu.Magulification must go on
Wananchi hatuja yasahau.
Wale wote watakao mnanga Hayat Rais John Pombe Magufuli wakati wa kampeni za Uchaguzi-
Huyo ni wa kupiga chini.
Hatutakubali nchi yetu ichezewe kama mwanasesere na hawa mawakala na vibaraka wa mabeberu.
CHADEMA kama kinara wa mawakala hao, wataenda kutuuza kwa wazungu mapema. Wanatumika vibaya sana na maharamia wa kutoka nje.
Haijalishi itachukua muda gani, ila wote watatubu mbele ya JPM, Lissu nae mpaka alienda Chato kutoa heshima.alikua wap sku zote anasema leo
Sawa.Waliouza bandari na kufurusha maasai ndio vibaraka wa mabeberu.