John Heche abarikiwe, anauelezea upande wa pili wa Hayati Magufuli vyema sana

CDM ni tegemeo la wananchi!
 
Mungu aliemuinua magufuli tunamuomba atuinulie kiongozi mwingine atakaeiongoza Tanzania. Sauti za vilio ndani ya mioyo ya watz ifike mbele ya kiti cha enzi mbingin
 
Kila awamu ilikuwa na mapungufu yake sababu hakuna aliyekamilika(ya 4 ya kidemokrasia na ya 5 Kidikteta) ila ya 6 imezidi sana.

unapoteza kumbukumbu kwa haraka sana
 
No Reforms, No Election.
 
Ni muhimu Heche na CHADEMA kwa ujumla wakasahau mabaya ya JPM kwa muda na kuanza kumsifia kwa yale mema aliyotenda ambayo wananchi wote wanafahamu. Kwa kufanya hivyo watapata sport kubwa sana.
 
Kuna mwingine aliwai kusema Tuna Rais wa ajabu haijawai kutokea na ni dictator uchwara.Itoshe kusema Kila mtu ana mtazamo wake kwenye jambo fulani ndo maana ata nchi ilivyo sasa kuna ambao wanakesha kutuaminisha nchi iko ovyo sana na kuna ambao wanakesha kutuaminisha nchi iko vizuri sana.Zakuambiwa changanya na zakwako.
 
Mtanikumbuka, akawabana wasiwepo bungeni na wasifanye siasa za majukwani
 
MNAFIKI SANA HUYU.CHADEMA SI NDIYO WALICHANGIA KIFO CHA JPM KWA KUMSAKAMA KILA KONA? LEO WANAMUONA MZALENDO ? PUMBA.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…