Vitu vingine havihitaji verification yoyote ile. Ikiwa ukweli upo, fuatilia mikutano ya CDM 2020 na ya CCM uone ni wapi watu walikua wanajaa.
Tofouti na saivi CDM Ina watu wengi sana, CCM haijazi tena watu bila wasanii kusomba wanafunzi kwenye mikutano yao.