figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Tuliambiwa kakamatwa 😂😂Makamu Mwenyekiti Bara John Heche leo tarehe 23/4/2025 amefika Ubalozi wa Vatican nchini kusaini kitabu cha maombolezo kufuatilia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko.
Heche amepokelewa na, Askofu Mkuu Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini.
View attachment 3312925View attachment 3312926View attachment 3312927View attachment 3312928View attachment 3312929
Popye ndiyo nini?Tuliambiwa kakamatwa 😂😂
Heche hajawahi kamatwa na Polisi popye maana hana ushawishi
SawasawaTuliambiwa kakamatwa 😂😂
Heche hajawahi kamatwa na Polisi popye maana hana ushawishi
HAPA UME-COMMENT KWA MAHABA KAMA MALAYA MALAYATuliambiwa kakamatwa 😂😂
Heche hajawahi kamatwa na Polisi popye maana hana ushawishi
Toka ameanza siasa ni lini ulisikia amelala korokoloni?HAPA UME-COMMENT KWA MAHABA KAMA MALAYA MALAYA
Vatican wanabalozi? Dah anamwakilisha raia gani?Makamu Mwenyekiti Bara John Heche leo tarehe 23/4/2025 amefika Ubalozi wa Vatican nchini kusaini kitabu cha maombolezo kufuatilia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko.
Heche amepokelewa na, Askofu Mkuu Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini.
View attachment 3312925View attachment 3312926View attachment 3312927View attachment 3312928View attachment 3312929
Eti eeenh?Ana tofauti gani na Mwita Waitara
Vatican ni nchi.Vatican wanabalozi? Dah
Walikuwa location wanafanya maigizo....Tuliambiwa kakamatwa 😂😂
Heche hajawahi kamatwa na Polisi popye maana hana ushawishi
Imepakana na nchi gani? Raia wake wanapatikana wapiVatican ni nchi.
Kumbe ishara ya kuwa na ushawishi ni kulala lock up?Toka ameanza siasa ni lini ulisikia amelala korokoloni?
Ana tofauti gani na Mwita Waitara?
Ukiwa na akili utakuja kunielewa baadae.
Yya Kariakoo yaliishia wapi jana!?Makamu Mwenyekiti Bara John Heche leo tarehe 23/4/2025 amefika Ubalozi wa Vatican nchini kusaini kitabu cha maombolezo kufuatilia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko.
Heche amepokelewa na, Askofu Mkuu Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini.
View attachment 3312925View attachment 3312926View attachment 3312927View attachment 3312928View attachment 3312929
Siku hizi kuna camera. Hukuona ktk video?Walikuwa location wanafanya maigizo....
Sikuona...Siku hizi kuna camera. Hukuona ktk video?
Vatican ndiyo nchi ndogo kuliko zote duniani. Ukubwa wake ni kilomita za mraba 0.49. Na imezungukwa na mji wa Rome wa Italia.Imepakana na nchi gani? Raia wake wanapatikana wapi