John Heche afika Ubalozi wa Vatican kutoa pole kufuatia kifo cha Papa Francisko

John Heche afika Ubalozi wa Vatican kutoa pole kufuatia kifo cha Papa Francisko

Makamu Mwenyekiti Bara John Heche leo tarehe 23/4/2025 amefika Ubalozi wa Vatican nchini kusaini kitabu cha maombolezo kufuatilia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko.

Heche amepokelewa na, Askofu Mkuu Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini.
View attachment 3312925View attachment 3312926View attachment 3312927View attachment 3312928View attachment 3312929
Safi wakati mi kenge ya ccm inajikuna makalio, wanaume wanafanya geo politic
 
Ni yeyote anaweza kufika hapo na kutoa pole au ni wachache kulingana na hadhi ta mtu?
 
Back
Top Bottom