John Heche afika Ubalozi wa Vatican kutoa pole kufuatia kifo cha Papa Francisko

John Heche afika Ubalozi wa Vatican kutoa pole kufuatia kifo cha Papa Francisko

Pope mtakatifu fransisko utuombee daima...
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie Apumzike kwa amani.
 
ALIENDA KUPIGA PICHA AONEKANE NA YEYE WA MAANA BAADA YA KUACHWA BARABARANI JANA ATAFUTE USAFIRI
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Jacquemin Shabani, amewaamuru magavana wa majimbo kutekeleza marufuku ya shughuli za chama kinachoongozwa na Rais wa zamani Joseph Kabila, imeripoti tovuti binafsi ya habari ya Actualite.

Chama cha Kabila cha People's Party for Reconstruction and Democracy (PPRD) "kilisimamishwa shughuli zake" tarehe 19 Aprili baada ya kiongozi huyo wa zamani kuripotiwa kurejea kutoka Afrika Kusini na kuelekea mashariki mwa DR Congo kupitia Goma, mji unaokaliwa na waasi wa March 23 Movement (M23) wanaoungwa mkono na Rwanda.

"Uamuzi huu unafuatia ushiriki wa PPRD [Kabila] katika vita vya uvamizi vya Rwanda, na chama kilichotajwa hapo juu kina hatia au hata kunyamaza kimya," alisema Shabani katika maagizo ya Aprili 21.

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, ambayo inamtuhumu Kabila kwa kushirikiana na M23 ili kuiondoa madarakani serikali ya Kinshasa, imeendelea kushikilia mali za PPRD na kuwawekea marufuku ya kusafiri maafisa wake.

Chama cha PPRD kimekanusha kuwa Kabila yuko Goma, na rais huyo wa zamani hajaonekana hadharani tangu kudaiwa kurejea kwake DR Congo.
DUNIA NI DYNAMIC NOT STATIC
 
Makamu Mwenyekiti Bara John Heche leo tarehe 23/4/2025 amefika Ubalozi wa Vatican nchini kusaini kitabu cha maombolezo kufuatilia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko.

Heche amepokelewa na, Askofu Mkuu Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini.
View attachment 3312925View attachment 3312926View attachment 3312927View attachment 3312928View attachment 3312929
Huu ndio utu. Kiongozi lazima uwe na sofa njema ya utu. Hudhuria misiba, fariji wafiwa na endelea kuwaombea
 
Back
Top Bottom