Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Raia wa Vatican ndiyo wanapatikana Vatican.Raia wake wanapatikana nchi gani? Wapiga kura wa nchi hio wapo nchi gani?
Vatican ndiyo pia makao Makuu ya Kanisa Katoliki na hivyo unapokuwa Vatican jua upo kwenye nchi inayoendeshwa kikatoliki na Papa ambaye ndiye kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, ndiye pia huwa Mkuu wa nchi ya Vatican.
Unapoona jinsi Ayatollah wa Iran anapochaguliwa na kuwa Mkuu wa nchi ya Iran, ndivyo na ilivyo kwa Papa.