Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Raia wa Vatican ndiyo wanapatikana Vatican.Raia wake wanapatikana nchi gani? Wapiga kura wa nchi hio wapo nchi gani?
Duh!..umehamia Chadema mkuu?...Ccm wamekukosea nini?Safi sana mpambanaji,tukutane kesho Mahakamani
Imepakana na nchi gani? Raia wake wanapatikana wapi
π€£π€£π€£π€£HAPA UME-COMMENT KWA MAHABA KAMA MALAYA MALAYA
Nimerudisha kadi Yao zamani sana,Nina Imani kubwa sana na huu uongozi wa chadema uliopo,unania ya dhati katika kuleta mabadiliko ambayo yataleta faida Kwa watoto na wajukuu wetu,karibu sana mkuuDuh!..umehamia Chadema mkuu?...Ccm wamekukosea nini?
Kwa sio, kaacha lini?HAPA UME-COMMENT KWA MAHABA KAMA MALAYA MALAYA
Barikiwa sana. Hujachelewa.Nimerudisha kadi Yao zamani sana,Nina Imani kubwa sana na huu uongozi wa chadema uliopo,unania ya dhati katika kuleta mabadiliko ambayo yataleta faida Kwa watoto na wajukuu wetu,karibu sana mkuu
Mimi Bichwa ndio membaz peke wa humu tulioumizwa zaidi na kifo Cha papa.Panapo majaliwa mkatumeni BICHWA KOMWE na mumeo secretarybird kesho tutafika kusaini na kutoa pole kwa kumpoteza Papa Francis..... Apumzike kwa amani
SI mlisema kakamatwa na polisi janaMakamu Mwenyekiti Bara John Heche leo tarehe 23/4/2025 amefika Ubalozi wa Vatican nchini kusaini kitabu cha maombolezo kufuatilia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko.
Heche amepokelewa na, Askofu Mkuu Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini.
View attachment 3312925View attachment 3312926View attachment 3312927View attachment 3312928View attachment 3312929
Itabidi na Lisu naye aombe ruhusu Naye aendeMakamu Mwenyekiti Bara John Heche leo tarehe 23/4/2025 amefika Ubalozi wa Vatican nchini kusaini kitabu cha maombolezo kufuatilia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko.
Heche amepokelewa na, Askofu Mkuu Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini.
View attachment 3312925View attachment 3312926View attachment 3312927View attachment 3312928View attachment 3312929
Samia hajawahi kukamatwa hata na mgambo.Hana ushawishi.Tuliambiwa kakamatwa ππ
Heche hajawahi kamatwa na Polisi popye maana hana ushawishi
Safi sanaMakamu Mwenyekiti Bara John Heche leo tarehe 23/4/2025 amefika Ubalozi wa Vatican nchini kusaini kitabu cha maombolezo kufuatilia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko.
Heche amepokelewa na, Askofu Mkuu Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini.
View attachment 3312925View attachment 3312926View attachment 3312927View attachment 3312928View attachment 3312929
Sasa unalia nini?Tuliambiwa kakamatwa ππ
Heche hajawahi kamatwa na Polisi popye maana hana ushawishi
Vaticani ni dola ndani ya nchi.Vatican ni nchi.