John Heche amjibu Saada: Wazanzibari wanaoishi Tanganyika nao wanyimwe matibabu?

John Heche amjibu Saada: Wazanzibari wanaoishi Tanganyika nao wanyimwe matibabu?

Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Wanakuwaje watanganyika wakati wana vitambulisho vya ukaazi wa zanzibar, means ni wazenj. Au wewe unazungumzia asili yao?

Ukisema ufate asili tuu kuhalalisha utanganyika ndani ya zanzibar unafeli sana, maana hata katika nchi tunazopakana nazo Kuna wamasai ni wakenya, wamakonde ni wamsumbiji, wahaya ni wanyarwanda nk.

Ukishakuwa na kitambulisha Cha ukaazi wa zanzibar wewe sio mtanganyika hata kama babu zako walitoka mkuranga kama rais mwinyi.
 
Wakati huo,Maalim Seif alifia Muhimbili na Jecha alifia Lugalo!!

Kwa nini hawakufia Mnazi mmoja huko kwao??

Huyo Mkuya lazima keshawahi kutibiwa Tanganyika na ana nyumba Dar na hata Dodoma ila wakikutana huko wanabana pua!!

Huu muungano ni wa kuvunja tuone nani atapoteza!!
 
hakuna sababu ya upotoshaji,

wagonjwa wote wana haki ya kupata matibabu Zanzibar, ila SMZ haina uwezo wa kubeba gharama za matibabu ya watu million 60 kwa bajeti ya trillion 8.

So, kila mgonjwa awe ametoka upande wowote wa taifa letu ana haki ya kupata huduma za afya kwa kuchangia gharama za matibabu kidogo kokote pale bila changamoto yoyote ile 🐒
Kuna watanganyika wangap znz ambao hutibiwa kule?
 
Na bado mpk damu itoke wao wameamu kana noma na iwe noma. Mpk 2030 tanganyika iwe ndio bondi y maendeleo ya zenji. Uku watanganyika wasio jielewa kulipa madeni ya zenji.
Kazi ni kipimo cha utu.
Inauma japo ndo ukweli
 
hakuna sababu ya upotoshaji,

wagonjwa wote wana haki ya kupata matibabu Zanzibar, ila SMZ haina uwezo wa kubeba gharama za matibabu ya watu million 60 kwa bajeti ya trillion 8.

So, kila mgonjwa awe ametoka upande wowote wa taifa letu ana haki ya kupata huduma za afya kwa kuchangia gharama za matibabu kidogo kokote pale bila changamoto yoyote ile 🐒
Subiri Msigwa aje kutoa ufafanuzi sio wewe.

Msikilize vizuri Saada kasema na video ipo, mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari.
 
Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Screenshot_20260604-133242~2.png
 
Kuna watanganyika wangap znz ambao hutibiwa kule?
watu wote wanaoishi na kufanya kazi Zanzibar hutibiwa kikamilifu kwenye hospitali za Zanzibar, kama ilivyo duniani kote.

Na yeyote yule anatibiwa kwa kuchangia gharama kidogo tu, kwasababu SMZ haiwezi kugharamia watu million 60 kwa bajeti ya trillion 8. Huo ndio ukweli.

But,
kwa kuchangia gharama kidogo tu za matibabu, mtu yeyote yule awe mgeni au mwenyeji wa Zanzibar anaweza kupata huduma za afya bila wasi wasi wowote ule gentleman 🐒
 
Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Wewe nae ndio mjinga kbs kwanza unaongea mamb ya kuhisi tu, eti inawezekana inawezekana inawezekana my foot!! Njoo na facts ya kutetea hoja yako!!
 
hakuna sababu ya upotoshaji,

wagonjwa wote wana haki ya kupata matibabu Zanzibar, ila SMZ haina uwezo wa kubeba gharama za matibabu ya watu million 60 kwa bajeti ya trillion 8.

So, kila mgonjwa awe ametoka upande wowote wa taifa letu ana haki ya kupata huduma za afya kwa kuchangia gharama za matibabu kidogo kokote pale bila changamoto yoyote ile 🐒
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Subiri Msigwa aje kutoa ufafanuzi sio wewe.

Msikilize vizuri Saada kasema na video ipo, mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari.
Gentleman,
kwa mfano wewe ukienda hospitali yoyote ile huko Bara, ikiwa huna kitambulisho chochote kile hutibiwi? Au ukienda hospitali za nje ya nchi mathalani India, ukiwa huna kitambulisho chochote kile hutibiwi?

Acheni upotoshaji nonsense plz,
Ikiwa huna kitambulisho chochote kile Zanzibar, utachangia gharama kidogo tu za matibabu na utapata huduma za afya vizuri sana, na utachangia gharama hizo kidogo kwasababu SMZ haiwezi kugharamia matibabu ya watu million 60 kwa bajeti ya trillion 8.
Na ni kweli kabisa haiwezekani kubeba mzigo huo wa gharama.

So,
kwa kuchangia gharama kidogo tu za matibabu mgeni na mwenyeji wa Zanzibar anatibiwa inavyostahili katika hospital zote Zanzibar.

Tujitenge na upotoshaji nonsense gentleman plz 🐒
 
watu wote wanaoishi na kufanya kazi Zanzibar hutibiwa kikamilifu kwenye hospitali za Zanzibar, kama ilivyo duniani kote.

Na yeyote yule anatibiwa kwa kuchangia gharama kidogo tu, kwasababu SMZ haiwezi kugharamia watu million 60 kwa bajeti ya trillion 8. Huo ndio ukweli.

But,
kwa kuchangia gharama kidogo tu za matibabu, mtu yeyote yule awe mgeni au mwenyeji wa Zanzibar anaweza kupata huduma za afya bila wasi wasi wowote ule gentleman 🐒
Waache watendaji wa wizara ya afya watuambie gharama wewe unababaisha tu uongo uongo mwingi, in short you know nothing about the ministry.
 
Jambo linaweza likatoka mdomoni mwa mtu na kweli likafikia sehemu hata yeye mwenyewe akajuitia kulitoa mdomoni. Saada cjui saida hapo unaonyesha sababu nyingine ya utawala wenu ulokosa mwelekeo. Nimeanza kuamin znz sio afrika. Dar nilinunua kiwanja na hadi leo kipo tu watoto wa kila tabaka wanachezea mpira. Nikienda kutembelea hako kauwanja inafka tu nabaki kuangalia vipaji vya watoto naondoka zangu na huu mwaka wa tisa sasa.
Saada saada saada, ulaniwe katika jina la miungu. Leo naanza kujenga ukuta nijenge dar nitoke znb ubaki na makauli yako ya kijinga. Saada nakuombea usafiri upate ebola ufe, la sivyo cku7 zatosha kuomba msamaha watangawalotawanyika na kwa mda huo ntakua nimeuza kilicho changu znb nimetoka.
Mtu na akili zake anashabikia kuwa huyo jamaa akili fyatu kaongea point. Ccm ni ngiri: mdomo mrefu lakin wanaongea pumba, vipembe vidogo kama kucha za zombie, kunenepa na pesa za wananchi,.
Heche ACHA UNYONGE KOMBOA TANGANYIKA ITOKE MIKONONI MWA WAARABU
 
Waache watendaji wa wizara ya afya watuambie gharama wewe unababaisha tu uongo uongo mwingi, in short you know nothing about the ministry.
Gentleman,
upende usipende ukweli huu,
nenda kwenye hospital ya umma yoyote ile iwe Zanzibar au bara bila kitambulisho chochote kile, utatibiwa vizuri sana kwa kuchangia gharama kidogo tu za matibabu utakayoyapata.

huhitaji kuweweseka kwenye ukweli huu. Hata hivyo, ukiwa na bima ya afya, utatibiwa bila gharama yoyote ile ispokua bima hyo itagharamia matibabu yako yote.

Hakunaga haja ya kupotosha kwenye mambo obvious kama haya gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom