Malaria! Ni udini upi ? Au Bi Saada ndio mdini?Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Nyerere ametukamatisha pabaya mno! Naamini ko siku tu hilo kongwa litaondoka!KWA SUALA LA MUUNGANO NYERERE ALIFANYA JAMBO BAYA KUWAHI KUTOKEA...
MUNGU AMLAZE PANAPISTAHILI, AMETUINGIZA KWENYE UTUMWA WA KUTUPWA...
WaTanganyika ni watu wa ajabu sana!Mambo yanazidi kuwa mengi.... Wazanzibari ni wabaguzi sana. Hawataki tumiliki ardhi Zanzibar, hawataki tufanyekazi Zanzibar, hawataki tutibiwe Zanzibar na mengine yanakuja soon.
Anaandika John Heche Makamu Mkiti Chadema.
==============
Huyu Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha huku bara.
Maneno muhimu kutoka kwako:
Unaelekeza mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari!!!! Ni mtu gani anaweza kuwa na kitambulisho cha Mtanzania lakini hana cha Mzanzibari?
Bila shaka ni mtu kutoka Tanganyika.
Umesema hatuna uwezo wa kutibu watu milioni 60 ambayo hiyo ni idadi ya Watanzania ambao wengi ni Watanganyika.
Je kuna siku wote wamevuka kuja kutafuta matibabu huko?
1. Saada unaweza kuwambia watu deni la Taifa ambalo kila mwezi tunalipa karibia trilioni moja na kadhaa ni kiasi gani kinatoka kwenye makusanyo ya Zanzibar?
2. Serikali za mitaa sio suala la muungano kwa katiba yetu,
Je unajua kuna wakurugenzi wa halmashauri za miji na majiji wameteueliwa kutoka Zanzibar huku Tanganyika?
Unajua kuna MADC wengi tu wameteueliwa kutoka Zanzibar wako huku bara?
Umefuatilia kwenye idara za madini, utaliii na wizara nyingi ambazo sio za Muungano kuna wakuu wa idara wangapi, wakurugenzi wa idara na maafisa wangapi kutoka Zanzibar?
Unataka Watanganyika wanaoishi huko wabaguliwe na wasipewe matibabu kwasababu ya kukosa kitambulisho cha Mzanzibari hata kama ana matibabu kadi ambayo ni sawa na bima ya afya….
Je Wazanzibari wanaoishi huku Tanganyika na wana bima za afya za NHIF nao wanyimwe matibabu?
Huyu ni waziri wa pili ndani ya mda mfupi kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya Watanzania wengine na..
Hakuna kauli yeyote kutoka kwa aliewateua, kwahiyo huu ndio msimamo wa ccm na ndio msimamo wa wateuzi wao.
Nani anaewatuma hawa kusema haya? Maana sio bahati mbaya… nani anaewatuma kuwabagua Watanganyika? := John Heche Makamu Mkiti CHADEMA.
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya... Itawatafuna sana!Kwa sasa Zanzibar siyo salama kwa watanganyika. Noted.
mkuu huoni hiyo chuki iliyopo saiv, unazan ndugu zetu kule kwa sasa wanaishije?kwani huko zanzibar huwa hakuna watu wa mataifa mengine ?
mbona nyinyi watu wa tanganyika mnapenda sana kujilizaliza
utafikiri ndio jamii pekee ambayo ipo huko zbr
wakifanyiwa ubaya na sisi tuwafanyie ubaya wanzenjibarmkuu huoni hiyo chuki iliyopo saiv, unazan ndugu zetu kule kwa sasa wanaishije?
upo sahihi kiongozi.wakifanyiwa ubaya na sisi tuwafanyie ubaya wanzenjibar
pia mimi sio muumini wa kulalamika
jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wangu nalishughulikia kikamilifu na
kama siliwezi naliacha kama lilivyo.
wanasema kulilia maziwa yaliyomwagika hakuwezi kuzoa maziwa
Ha ha ha kuwaajili wazanzibar ni changamoto kubwa ni wasumbufu balaa wana visa vingi ndiyo maana wamiliki wa mahoteli hawawataki hata akiwa mmiliki wa Hotel ni mzanzibar mwenyeji hataki kuwajili ndugu zake anaajili watanganyika kwani ni wachapakazi wazuri kuliko wazanzibarYaani mtalii akitaka kitimoto pork ribs aambiwe yakhe me siwezi kukuuzia hiyo nenda pengine, au mtalii ana njaa sa saba aambiwe subiri nitoke nsikitini ntakuhudumia hahaha
Kwani Zanzibar hapawatoshi? Mbona mmejazana Tanganyika? Kwani wenye mahoteli hawajui kuwa wapo watu wa mataifa mengine? Wamiliki wa hotel wanawapenda watanganyika kwa kuwa ni wachapakazi wazuri tofauti na wewe na ndugu zako kushinda vibarazani kupiga majungu na ulalamishi usio na tijakwani huko zanzibar huwa hakuna watu wa mataifa mengine ?
mbona nyinyi watu wa tanganyika mnapenda sana kujilizaliza
utafikiri ndio jamii pekee ambayo ipo huko zbr
Kwani bajeti ya Afya Tanganyika haipo sawa kwa kutowabagua wazanzibar ?Ndio sada mkuya yuko sawa bajeti yao ya Afya ni kwa ajili wazanzibari tu
WATANGANYIKA NI CHEAP LABOURKwani Zanzibar hapawatoshi? Mbona mmejazana Tanganyika? Kwani wenye mahoteli hawajui kuwa wapo watu wa mataifa mengine? Wamiliki wa hotel wanawapenda watanganyika kwa kuwa ni wachapakazi wazuri tofauti na wewe na ndugu zako kushinda vibarazani kupiga majungu na ulalamishi usio na tija
We kweli malaria mbiliHeche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Hakuna bajeti ya tanganyika bajeti iliopo ni ya jamhuri ya muungano wa TanzaniaKwani bajeti ya Afya Tanganyika haipo sawa kwa kutowabagua wazanzibar ?
Acha upimbi wewe hizi takwimu unatoa wapi? Hatutaki tu kumwaga mchele maana kuku ni wengiHeche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Hamna udini kwenye hoja hii? Na alieanzisha ni mzanzibar mwenyewe.Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Mambo yanazidi kuwa mengi.... Wazanzibari ni wabaguzi sana. Hawataki tumiliki ardhi Zanzibar, hawataki tufanyekazi Zanzibar, hawataki tutibiwe Zanzibar na mengine yanakuja soon.