- Thread starter
- #41
Punguza u much know wa kila kitu, wizara yenyewe hujui utendaji wake unajifanya masemaji wa wizara.Gentleman,
kwa mfano wewe ukienda hospitali yoyote ile huko Bara, ikiwa huna kitambulisho chochote kile hutibiwi? Au ukienda hospitali za nje ya nchi mathalani India, ukiwa huna kitambulisho chochote kile hutibiwi?
Acheni upotoshaji nonsense plz,
Ikiwa huna kitambulisho chochote kile Zanzibar, utachangia gharama kidogo tu za matibabu na utapata huduma za afya vizuri sana, na utachangia gharama hizo kidogo kwasababu SMZ haiwezi kugharamia matibabu ya watu million 60 kwa bajeti ya trillion 8.
Na ni kweli kabisa haiwezekani kubeba mzigo huo wa gharama.
So,
kwa kuchangia gharama kidogo tu za matibabu mgeni na mwenyeji wa Zanzibar anatibiwa inavyostahili katika hospital zote Zanzibar.
Tujitenge na upotoshaji nonsense gentleman plz 🐒
Eti India unaweza kutibiwa bila kitambulisho, unamdanganya nani.