- Thread starter
- #81
Kwahiyo katiba ya 77 inawabagua wananchi inamuacha rais.soma katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania toleo la mwaka 1977
Kwahiyo katiba ya 77 inawabagua wananchi inamuacha rais.soma katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania toleo la mwaka 1977
Ndio kusema Bajeti ya Tanzania ni kwa ajili ya watanganyika na wazanzibari.Ndio sada mkuya yuko sawa bajeti yao ya Afya ni kwa ajili wazanzibari tu
mimi ni mtanzania, sina vyama kwani uchaguzi ulishaisha,na yaliyopita si ndwele sasa tunaganga yaliyopo. Mimi nahoji as mtanzania ambaye naona kabisa kuwa hizi kauli zinatugawa watanzania. Mambo ya vyama nawaachia wakereketwa waliomo ndani ya vyama. Hili suala linawagusa watanzania wote,wazanzibar,watanganyika,wana ccm,wanachadema,wasukuma,wapemba,wanamwanza wanadaslam na yeyote yule anayeitwa mtanzania.Uko sahihi. Kinachonishangaza ni kwanini Heche huyo huyo na chama chake wamemfukuza mwanachama wao kwa kuhoji jambo kama hilo? Majibu tafadhali?
Unataka tukuamini wewe au Tumwamini Bosi wako Saada Mkuya?kwanza kabisa gentleman,
hii nukuu ni pure fake,
Lakini pia nimekuelewesha vya kutosha kwamba, hakuna raia kutoka nje ya nchi anaweza kukosa huduma za afya Zanzibar eti kwasababu hana kitambulisho fulani cha Zanzibar. Hiyo haitawahi kuja kutokea.
Jambo la pili,
mtu yeyote yule mwenye changamoto za kiafya awe ametoka bara au ni wa pale pale Zanzibar, awe ana kitambulisho au hana, atapata huduma za afya bila wasi wasi wowote.
Tofauti itakua ni yule mwenye bima ya afya atatibiwa kwa gharama ya aina ya bima yake, na yule asie na bima atatibiwa kwa kuchangia gharama kidogo tu za matibabu.
Ni muhimu sana kufahamu hili gentleman. Huduma za afya hazinaga mipaka wala ubaguzi 🐒
hakuna aliyebaguliwaKwahiyo katiba ya 77 inawabagua wananchi inamuacha rais.
Ndio maana yakeNdio kusema Bajeti ya Tanzania ni kwa ajili ya watanganyika na wazanzibari.
Vichwa bapa toka lini mkawa mmesoma,ni hao ccm wabara wasiojielewa na kuangalia maslahi ya familia zao ndio wanaowapa hiyo favor kushindwa kudai referendum ya pande zote kujua wananchi kama wanaafiki huo muungano na vitu gani vya kurekebishwa,ila kwa ujinga wao leo hii ndio maana Tanzania driving licence unaweza kuitumia nchi zote za SADC na EAC,ila znz huwezi kutumia halafu mazuzu yamenyuti tu,iko siku atakuja rais kichaa atafix ujinga wote huumadhara ya kukimbia umande
wakati wenzenu wanajifunza mambo ya muungano na yasiyo ya muungano nyinyi mlikuwa mnamwangalia mwalimu kwenye rula. matokeo mnakutana na uhalisia wake mtaani mnaanza kutoa povu
Amini Mungu pekee gentleman na si vinginevyo plz 🐒Unataka tukuamini wewe au Tumwamini Bosi wako Saada Mkuya?
Siku mtakapokatiwa umeme msije kusema uelewa wa watanganyika mdogo.hakuna aliyebaguliwa
uelewa wenu mdogo ndio mmeugeuza kuuita ubaguzi
lhakuna aliyebaguliwa
uelewa wenu mdogo ndio mmeugeuza kuuita ubaguzi
Chako chako changu chetu.Ndio maana yake
Una usenge mwingi sana, unajifanya muislamu sana halafu unakuja hapa kuchukua kitoweo cha nyama ya nguruwe unaenda kula kwa kificho.TEC wapo wapi
Dini imetoka wapi hapo shehe. Watu wanajadili kauli iliyotolewa na huyo Saada wewe unaleta udiniHeche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Huyu mpuuzi Malaria 2 ana ujinga wa kurithi kila jambo lazima alihusidhe na dini, na akitoka hapo anaenda kula nguruwe kwa kificho.Wewe Sasa ndo bumunda la Lumumba. Ndo umeandika nn?
Umeshafika na kuishi na wazanzibar www! Unajua jamaa ni mpumbavu wbaguzi kwa asili Yao?
Udini umeingiaje hapa? Siyo kweli kwamba wewe ndiyo mdini
Kivipi ?Chako chako changu chetu.
Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Hata hapo SA yalianza hivi hivi dhambi ya ubaguzi huwa haiishi kamwe ogopa sanaAisee ! kauli hizi zinanitia wasiwasi juu ya ndugu zetu waishio huko Zanzibar, watakuwa wanaishi maisha ya kiupweke sana kutokana na kubaguliwa..Kwasasa Zanzibar sio salama kwa Watanganyika wanapaswa kuwa makini itafika muda wataanza kuwaua kimya kimya..Viongozi mlioachiwa Tanzania na Baba wa Taifa ikiwa mikono salama msishupaze shingo juu ya swala hili...Kama Wazanzibar watang'ang'ania muungano uvunjwe ni bora kuwasikiliza lakini Watanganyika tusishadadie(kung'ang'nia) kuvunjwa kwa Muungano...Yote kwa Yote. MARIDHIANO na KATIBA MPYA sambamba na kufumua mifumo iliyopitwa na wakati muda ndo huu bado hatujachelewa.