Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,247
- 8,682
Wajinga hawa wanauza akili zao kwa pilau mbuzi ndizi mbivu na pepsi baridi!!Huyu ustaadh akishashiba mtori wa nguruwe anajiropokea tu.
Wajinga hawa wanauza akili zao kwa pilau mbuzi ndizi mbivu na pepsi baridi!!Huyu ustaadh akishashiba mtori wa nguruwe anajiropokea tu.
Acha necha uchukue mkondo wake. Kama demu hakutaki achana naye usimbake.Hiyo ni kuharalisha ubaguzi kwani wenye mahoteli hawataki wazanzibar ndiyo maana huajili watanganyika ambao wana ufanisi kuliko wazanzibar
Wewe ni kubwa jingaepuka kumbwelambwela nonsense kwenye mijadala jukwaani gentleman, hasa ikiwa uko pointless na itapendeza zaid![]()
We unahoja gani zaidi ni upupu tuasie chizi hujikita kwenye hoja ya msingi mezani na kutoa maoni yake kwa uhuru na sio kumbwelambwela nonsense jukwaani kwa mihemko useless kabisa aise 🐒
Nje ya madam kidogo. Wewe ndo malaria sugu?Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Hoja yangu ni moja tu... Hao milion sitini kwann mnawajumuisha kweny huduma ya matibabu ya serikali ya znz? Leteni idadi ya watanganyika wanaotibiwa znz!!watu wote wanaoishi na kufanya kazi Zanzibar hutibiwa kikamilifu kwenye hospitali za Zanzibar, kama ilivyo duniani kote.
Na yeyote yule anatibiwa kwa kuchangia gharama kidogo tu, kwasababu SMZ haiwezi kugharamia watu million 60 kwa bajeti ya trillion 8. Huo ndio ukweli.
But,
kwa kuchangia gharama kidogo tu za matibabu, mtu yeyote yule awe mgeni au mwenyeji wa Zanzibar anaweza kupata huduma za afya bila wasi wasi wowote ule gentleman 🐒
Wakiwa Tanganyika hawabaguliwi lakini wakiwa Zanzibar wanakuwa wabaguzi kama Africa kusini, sasa wanang’ang’aniza ajila mahotelini wapewe wao wakati wamiliki wa Mahoteli wanaangalia utashi wao wanajua wazanzibar siyo smart idara hizo hawajui kazi ni wavivu na wabishi sana
Yaani mtalii akitaka kitimoto pork ribs aambiwe yakhe me siwezi kukuuzia hiyo nenda pengine, au mtalii ana njaa sa saba aambiwe subiri nitoke nsikitini ntakuhudumia hahahaWakiwa Tanganyika hawabaguliwi lakini wakiwa Zanzibar wanakuwa wabaguzi kama Africa kusini, sasa wanang’ang’aniza ajila mahotelini wapewe wao wakati wamiliki wa Mahoteli wanaangalia utashi wao wanajua wazanzibar siyo smart idara hizo hawajui kazi ni wavivu na wabishi sana
We jamaa ni jinga sana, ivi ulikoswaje koswaje na ile oktoba 29.?? Ilitakiwa utandikwe ya kichwa 👺👺👺Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Nonsense 🚮epuka kumbwelambwela nonsense kwenye mijadala jukwaani gentleman, hasa ikiwa uko pointless na itapendeza zaid![]()
calm down then gentlemanNonsense 🚮

Wee shekhe ubwabwa na udini ni🤞.Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Heche mpumbavu,wizara ya afya siyo wizara ya muungano,so mtu asiye mzanzibar hawezi nufaika na wizara ya afyaMambo yanazidi kuwa mengi.... Wazanzibari ni wabaguzi sana. Hawataki tumiliki ardhi Zanzibar, hawataki tufanyekazi Zanzibar, hawataki tutibiwe Zanzibar na mengine yanakuja soon.
Anaandika John Heche Makamu Mkiti Chadema.
==============
Huyu Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha huku bara.
Maneno muhimu kutoka kwako:
Unaelekeza mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari!!!! Ni mtu gani anaweza kuwa na kitambulisho cha Mtanzania lakini hana cha Mzanzibari?
Bila shaka ni mtu kutoka Tanganyika.
Umesema hatuna uwezo wa kutibu watu milioni 60 ambayo hiyo ni idadi ya Watanzania ambao wengi ni Watanganyika.
Je kuna siku wote wamevuka kuja kutafuta matibabu huko?
1. Saada unaweza kuwambia watu deni la Taifa ambalo kila mwezi tunalipa karibia trilioni moja na kadhaa ni kiasi gani kinatoka kwenye makusanyo ya Zanzibar?
2. Serikali za mitaa sio suala la muungano kwa katiba yetu,
Je unajua kuna wakurugenzi wa halmashauri za miji na majiji wameteueliwa kutoka Zanzibar huku Tanganyika?
Unajua kuna MADC wengi tu wameteueliwa kutoka Zanzibar wako huku bara?
Umefuatilia kwenye idara za madini, utaliii na wizara nyingi ambazo sio za Muungano kuna wakuu wa idara wangapi, wakurugenzi wa idara na maafisa wangapi kutoka Zanzibar?
Unataka Watanganyika wanaoishi huko wabaguliwe na wasipewe matibabu kwasababu ya kukosa kitambulisho cha Mzanzibari hata kama ana matibabu kadi ambayo ni sawa na bima ya afya….
Je Wazanzibari wanaoishi huku Tanganyika na wana bima za afya za NHIF nao wanyimwe matibabu?
Huyu ni waziri wa pili ndani ya mda mfupi kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya Watanzania wengine na..
Hakuna kauli yeyote kutoka kwa aliewateua, kwahiyo huu ndio msimamo wa ccm na ndio msimamo wa wateuzi wao.
Nani anaewatuma hawa kusema haya? Maana sio bahati mbaya… nani anaewatuma kuwabagua Watanganyika? := John Heche Makamu Mkiti CHADEMA.
Whatever you polish huo ni ubaguzi, zamani mbona hatukuwahi kusikia ubaguzi wa aina hii,Heche mpumbavu,wizara ya afya siyo wizara ya muungano,so mtu asiye mzanzibar hawezi nufaika na wizara ya afya
Upande wa pili Tanganyika haipo bali Tanzania, mzanzibar ni mtanzania,hivyo ana haki ya kunufaika na wizara ya afya ya jamhuri ya 'muungano' wa Tanzania
Yaani akina heche ndiyo wanataka nchi na hawalijui hili!
Wizara ya afya ya Zanzibar, huenda wao wanatibiana bure,sasa kwa nini watumie gharama kumtibu mtu asiye mzanzibar!?Whatever you polish huo ni ubaguzi, zamani mbona hatukuwahi kusikia ubaguzi wa aina hii,
Kwani wizara ya afya imeanzishwa kipindi cha Samia, kapita Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Magufuli hatujasikia, why kipindi cha Samia.
Hiyo wizara ilikuwepo hata kabla ya Samia mbona hatujasikia ubaguzi huo.Wizara ya afya ya Zanzibar, huenda wao wanatibiana bure,sasa kwa nini watumie gharama kumtibu mtu asiye mzanzibar!?
Unataka hisani iendelee?hisani hailazimishwiHiyo wizara ilikuwepo hata kabla ya Samia mbona hatujasikia ubaguzi huo.
Sawa umeeleweka.Unataka hisani iendelee?hisani hailazimishwi