Wanakuwaje watanganyika wakati wana vitambulisho vya ukaazi wa zanzibar, means ni wazenj. Au wewe unazungumzia asili yao?Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
hakuna ku part waysKama vp wa part ways kila mmoja na hamsini zake
Kuna watanganyika wangap znz ambao hutibiwa kule?hakuna sababu ya upotoshaji,
wagonjwa wote wana haki ya kupata matibabu Zanzibar, ila SMZ haina uwezo wa kubeba gharama za matibabu ya watu million 60 kwa bajeti ya trillion 8.
So, kila mgonjwa awe ametoka upande wowote wa taifa letu ana haki ya kupata huduma za afya kwa kuchangia gharama za matibabu kidogo kokote pale bila changamoto yoyote ile π
Inauma japo ndo ukweliNa bado mpk damu itoke wao wameamu kana noma na iwe noma. Mpk 2030 tanganyika iwe ndio bondi y maendeleo ya zenji. Uku watanganyika wasio jielewa kulipa madeni ya zenji.
Kazi ni kipimo cha utu.
Subiri Msigwa aje kutoa ufafanuzi sio wewe.hakuna sababu ya upotoshaji,
wagonjwa wote wana haki ya kupata matibabu Zanzibar, ila SMZ haina uwezo wa kubeba gharama za matibabu ya watu million 60 kwa bajeti ya trillion 8.
So, kila mgonjwa awe ametoka upande wowote wa taifa letu ana haki ya kupata huduma za afya kwa kuchangia gharama za matibabu kidogo kokote pale bila changamoto yoyote ile π
Wavunje tu muungano hauna FAIDA.Huu muungano uvunjike tu kwanza wazanzibari wengi ni mizigo tu kwa Tanganyika yetu
Tangu mzee wa madrasa, kulala msikini kusibiria wap kuna dua akale pilau huku ndiz mbivu kaificha kweny mfuko wa koti. Hapo akili aitoe wap?Sorry to say ila we jamaa huna akili
Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
nafikiri watanganyika ndiyo jamii inayoongoza kwa kuraramika duniani.Watanganyika acheni kulalamika ,chukueni hatua
watu wote wanaoishi na kufanya kazi Zanzibar hutibiwa kikamilifu kwenye hospitali za Zanzibar, kama ilivyo duniani kote.Kuna watanganyika wangap znz ambao hutibiwa kule?
Wewe nae ndio mjinga kbs kwanza unaongea mamb ya kuhisi tu, eti inawezekana inawezekana inawezekana my foot!! Njoo na facts ya kutetea hoja yako!!Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
hakuna sababu ya upotoshaji,
wagonjwa wote wana haki ya kupata matibabu Zanzibar, ila SMZ haina uwezo wa kubeba gharama za matibabu ya watu million 60 kwa bajeti ya trillion 8.
So, kila mgonjwa awe ametoka upande wowote wa taifa letu ana haki ya kupata huduma za afya kwa kuchangia gharama za matibabu kidogo kokote pale bila changamoto yoyote ile π
Gentleman,Subiri Msigwa aje kutoa ufafanuzi sio wewe.
Msikilize vizuri Saada kasema na video ipo, mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari.
Waache watendaji wa wizara ya afya watuambie gharama wewe unababaisha tu uongo uongo mwingi, in short you know nothing about the ministry.watu wote wanaoishi na kufanya kazi Zanzibar hutibiwa kikamilifu kwenye hospitali za Zanzibar, kama ilivyo duniani kote.
Na yeyote yule anatibiwa kwa kuchangia gharama kidogo tu, kwasababu SMZ haiwezi kugharamia watu million 60 kwa bajeti ya trillion 8. Huo ndio ukweli.
But,
kwa kuchangia gharama kidogo tu za matibabu, mtu yeyote yule awe mgeni au mwenyeji wa Zanzibar anaweza kupata huduma za afya bila wasi wasi wowote ule gentleman π
Gentleman,Waache watendaji wa wizara ya afya watuambie gharama wewe unababaisha tu uongo uongo mwingi, in short you know nothing about the ministry.