Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Leo si ameonda ubalozi wa Vatican kumuombea Lissu? Asubiri mahakamaJohn Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu
"Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi kuwa Mwanajeshi, hana kikundi chochote cha Kijeshi anachokiongoza, hawawezi kuithibitisha popote, mwisho wa siku itoakuwa kama Kesi ya Mbowe"
Majaji wote si kawateua Rais? Tatizo liko wapiHeche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
ila turudi nyuma twende mbele.tume ya uchaguzi inavyofanya ni haki?Heche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
Tamka TUME HURU YA UCHAGUZIila turudi nyuma twende mbele.tume ya uchaguzi inavyofanya ni haki?
najua una akili
Ni kweli kabisa.Ndiyo maana wakitoka tu lupango anawakaribisha ikulu wapate juisi kupata kinga ya mafua ya jela.Heche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
bado nina amini una akili.Tamka TUME HURU YA UCHAGUZI
Kesi za kijinga/uhaini nyingi huanzishwa na "wana-GPO"!Mabeyo ndio alikuwa na sifa za kufanya uhaini
Ila mabeyo akaonyesha uzalendo
Sasa Samia analazimisha uhaini kwa nn?
Kwa Mungu, ukitamani umetenda. Hangaya alitamani kumnyonga Ayatollah Mbowe na sasa ametamani kumnyonga Lissu pia. Kwa hiyo, Hangaya ameshanyonga wenyeviti wa CDM wawili tayari.John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu
"Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi kuwa Mwanajeshi, hana kikundi chochote cha Kijeshi anachokiongoza, hawawezi kuithibitisha popote, mwisho wa siku itoakuwa kama Kesi ya Mbowe"
bado wewe, ngoja mafwele ajeKwa Mungu, ukitamani umetenda. Hangaya alitamani kumnyonga Ayatollah Mbowe na sasa ametamani kumnyonga Lissu pia. Kwa hiyo, Hangaya ameshanyonga wenyeviti wa CDM wawili tayari.
Aifute aiseeJohn Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu
"Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi kuwa Mwanajeshi, hana kikundi chochote cha Kijeshi anachokiongoza, hawawezi kuithibitisha popote, mwisho wa siku itoakuwa kama Kesi ya Mbowe"
kwan dpp mteule WA nani ,na mwenye kumwagiza dpp afute kesi ni nani? uvcc toeni funza vichwani mwenu humoHeche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
Heche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.