Issue ya Gambo imenifikirisha sana, huyu nae wa kuilalamikia CCM....wacha wamkaange ingawa huenda ana pointHujanifahamu na umevamia post. Punguza jazba. Umeona leo Gambo wa kulalamika kwa wanaccm? Dunia ni dynamic and not static
Issue ya Gambo imenifikirisha sana, huyu nae wa kuilalamikia CCM....wacha wamkaange ingawa huenda ana pointHujanifahamu na umevamia post. Punguza jazba. Umeona leo Gambo wa kulalamika kwa wanaccm? Dunia ni dynamic and not static
Umeanza kumfuatilia Gambo leo?2022 alilalamika pia kwa Mwigulu kwani sio ndio kazi yake bungeni?Ulitaka afanye nini?Hujanifahamu na umevamia post. Punguza jazba. Umeona leo Gambo wa kulalamika kwa wanaccm? Dunia ni dynamic and not static
Gambo si alikua mkuu wa mkoa? Ukimsikia akilalamika? Au akilalamikiwa yeye?Umeanza kumfuatilia Gambo leo?2022 alilalamika pia kwa Mwigulu kwani sio ndio kazi yake bungeni?Ulitaka afanye nini?
Sasa akiwa Mkuu wa Mkoa alalamike nini?Si ndio Serikali yeye anapaswa kulalamikiwa na kuhojiwa.Gambo si alikua mkuu wa mkoa? Ukimsikia akilalamika? Au akilalamikiwa yeye?
Hii ndio dunia. Kutesa kwa zamSasa akiwa Mkuu wa Mkoa alalamike nini?Si ndio Serikali yeye anapaswa kulalamikiwa na kuhojiwa.
MinaonahukumuitolewenaadhabustahikiitolewekwamtuhuyuanaesemasemakuhusuhakizawatuwasiojuahakizaoHeche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
Yaani unajidai kusimamia mabadiliko ya sheria halafu unataka Katiba na sheria za nchi zivunjwe? Rais ni Jaji Mkuu au DPP? Ovyo sanaa!🙏🙏🙏John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu
"Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi kuwa Mwanajeshi, hana kikundi chochote cha Kijeshi anachokiongoza, hawawezi kuithibitisha popote, mwisho wa siku itoakuwa kama Kesi ya Mbowe"
Tuna kivuko cha Gambo!Heche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
Wewe chawaccm ndiyo huna Akili kwani hujui kuwa mahakamaccm inaingiliwa na ccm? Polisiccm kupiga watu kwenye viunga vya mahakama ni kuingilia mahakama, kesi ya kubambika ni kuingilia mahakama kwani umewapelekea kesi ya Uongo ili watoe maamuzi haramu ya kishetaniHeche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
Big point, inahitaji mipango madhubuti sana, kumuondoa CCM sio kitendo cha kulala na kuamka, kumuondoa CCM sio kupiga makelele mitandaoni na kutukana kila mtu !Uchaguzi wa mwaka jana nilikuwa kijijini hao wapinzani sehemu nyingi hawakuwa ht na wagombea sasa hiyo tume ikamchukue mtu mtaani na kumtangaza mshindi wa chadema? Umepewa taarifa upinzani wote wagombea walikuwa 30% tu, hata wangeshinda wote CCM ingeshinda kwa 70%. Nyie ni kundi la jamii lililokata tamaa. CCM ina mizizi kutoka mabalozi wa nyumba 10 na kwote kupo active sana. Nafasi kupitia CCM inagombaniwa km lulu kuanzia mashinani, vitongojini mpk kijijini mpk unashangaa wanapata nini, unakuja kujua ni uzalendo tu watu wanataka kutumikia nchi yao, na chama wanachokijua ni CCM, CCM haiwezi kutolewa kwa hizi ghadhabu za humu mitandaoni wapiga kura wa kweli ht hawajui hv vt vyenu. Kuwatoa CCM si leo wala kesho bado sana.
Aliyetengeneza hiyo kesi ni huyo Rais kwa kuwatuma Polisiccm na DPP ni mteule wa ccm kwenye mahamaccmYaani unajidai kusimamia mabadiliko ya sheria halafu unataka Katiba na sheria za nchi zivunjwe? Rais ni Jaji Mkuu au DPP? Ovyo sanaa!🙏🙏🙏
Humu mitandaoni ujumbe hufika kwa haraka zaidi na wao licha ya manyanyaso yao huwa wakijilaumu wakosoma jinsi watu walivyochoka na uonevuBig point, inahitaji mipango madhubuti sana, kumuondoa CCM sio kitendo cha kulala na kuamka, kumuondoa CCM sio kupiga makelele mitandaoni na kutukana kila mtu !
MIPANGO, MIPANGO TENA MADHUBUTI
Mahakamaccm haifanyi kazi kwa mjibu wa sheria kwa sasa bali inafanya kazi kwa Amri haramu za kishetani toka ccmWewe ndiye mpumbavu labisa nani asiyejua kuwa mahakama za nchii zinapokea vimemo toka serikalini ?
Maandiko yanasema "Aogpacho mtu asiye haki ndicho kitakachompata". Sasa hawa viongozi ambao wanawaza mambo ya ugaidi na uhaini wanamaanisha nini? Isije ikawa wanatabiria nchi kuja kupata magaidi na mahaini kutokana na hofu zao.Mabeyo ndio alikuwa na sifa za kufanya uhaini
Ila mabeyo akaonyesha uzalendo
Sasa Samia analazimisha uhaini kwa nn?
Ghana, Zambia, Senegal walifanya haya haya mambo ya hovyo ya ccm baadae kilichokuja kuwakuta wanajutia hadi sasaMaandiko yanasema "Aogpacho mtu asiye haki ndicho kitakachompata". Sasa hawa viongozi ambao wanawaza mambo ya ugaidi na uhaini wanamaanisha nini? Isije ikawa wanatabiria nchi kuja kupata magaidi na mahaini kutokana na hofu zao.