Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Sio uongo. Huyu pimbi anaweza kuua kila mtu mpaka akakosa hata watu wa kuwatawala!bado wewe, ngoja mafwele aje
Sio uongo. Huyu pimbi anaweza kuua kila mtu mpaka akakosa hata watu wa kuwatawala!bado wewe, ngoja mafwele aje
Wewe ndiye mpumbavu labisa nani asiyejua kuwa mahakama za nchii zinapokea vimemo toka serikalini ?Heche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
Wewe ni mwanamama hivi ukivaa nguo za kiume na jinsia yako inabadilika kuwa ya kiume?Tamka TUME HURU YA UCHAGUZI
Watanzania sio wajinga.Heche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
Huyo kima atulize hilo bakuli lake, bwege km hilo haliwezi kumwagiza amiri jeshi mkuu, hana adabu km kawaida yake. Sasa mtu ameshindwa ht kuheshimu mahakama ndio awe kiongozi wa kitaifa? Huyo nyumbu ataishia huko kwa nyumbu wenzie. Asubiri uamuzi wa mahakama aache kubwekabweka km mbwa koko.John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu
"Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi kuwa Mwanajeshi, hana kikundi chochote cha Kijeshi anachokiongoza, hawawezi kuithibitisha popote, mwisho wa siku itoakuwa kama Kesi ya Mbowe"
Hao ni kundi la nyumbu hawawezi kuelewa ustaarabu wa binadamuHeche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
Basi nendeni mkaishi porini na nyumbu wenzenu mkawe chakula cha simba maana hakuna nchi inayoendeshwa mnavyotaka nyie. Nyie ni fedheha ktk huu ulimwenguMajaji wote si kawateua Rais? Tatizo liko wapi
Kazi ya Ukombozi inaendeleaJohn Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu
"Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi kuwa Mwanajeshi, hana kikundi chochote cha Kijeshi anachokiongoza, hawawezi kuithibitisha popote, mwisho wa siku itoakuwa kama Kesi ya Mbowe"
😀😀😀kwan dpp mteule WA nani ,na mwenye kumwagiza dpp afute kesi ni nani? uvcc toeni funza vichwani mwenu humo
Uchaguzi wa mwaka jana nilikuwa kijijini hao wapinzani sehemu nyingi hawakuwa ht na wagombea sasa hiyo tume ikamchukue mtu mtaani na kumtangaza mshindi wa chadema? Umepewa taarifa upinzani wote wagombea walikuwa 30% tu, hata wangeshinda wote CCM ingeshinda kwa 70%. Nyie ni kundi la jamii lililokata tamaa. CCM ina mizizi kutoka mabalozi wa nyumba 10 na kwote kupo active sana. Nafasi kupitia CCM inagombaniwa km lulu kuanzia mashinani, vitongojini mpk kijijini mpk unashangaa wanapata nini, unakuja kujua ni uzalendo tu watu wanataka kutumikia nchi yao, na chama wanachokijua ni CCM, CCM haiwezi kutolewa kwa hizi ghadhabu za humu mitandaoni wapiga kura wa kweli ht hawajui hv vt vyenu. Kuwatoa CCM si leo wala kesho bado sana.ila turudi nyuma twende mbele.tume ya uchaguzi inavyofanya ni haki?
najua una akili
Nani muoga? Lissu?⌚️💯 ni muoga balaaa. Huyuu ataweza kampeni kweliii????
You are useless and lost sperm better masturbated..Kama Mama Abduli ana hamu ya kumuua Lissu afanye hivyo yeye mwenyewe, sio kuwasikizia Polisi na mahakama.
..Mama Abduli kumshtaki Lissu kwa makosa ya kujitungia ni kuiingilia mahakama na kuinajisi kitu kinachoweza kupelekea isiaminike tena.
Kwani Mahakama ndiyo imefungua hiyo Kesi?Heche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
Hujanifahamu na umevamia post. Punguza jazba. Umeona leo Gambo wa kulalamika kwa wanaccm? Dunia ni dynamic and not staticBasi nendeni mkaishi porini na nyumbu wenzenu mkawe chakula cha simba maana hakuna nchi inayoendeshwa mnavyotaka nyie. Nyie ni fedheha ktk huu ulimwengu
Una uhakika na ulichokiandika hapa ndugu chawa? Au unatetea zile buku Saba za Lumumba fc? Na ukome kutufokea hapa jf.Uchaguzi wa mwaka jana nilikuwa kijijini hao wapinzani sehemu nyingi hawakuwa ht na wagombea sasa hiyo tume ikamchukue mtu mtaani na kumtangaza mshindi wa chadema? Umepewa taarifa upinzani wote wagombea walikuwa 30% tu, hata wangeshinda wote CCM ingeshinda kwa 70%. Nyie ni kundi la jamii lililokata tamaa. CCM ina mizizi kutoka mabalozi wa nyumba 10 na kwote kupo active sana. Nafasi kupitia CCM inagombaniwa km lulu kuanzia mashinani, vitongojini mpk kijijini mpk unashangaa wanapata nini, unakuja kujua ni uzalendo tu watu wanataka kutumikia nchi yao, na chama wanachokijua ni CCM, CCM haiwezi kutolewa kwa hizi ghadhabu za humu mitandaoni wapiga kura wa kweli ht hawajui hv vt vyenu. Kuwatoa CCM si leo wala kesho bado sana.
😡Uchaguzi wa mwaka jana nilikuwa kijijini hao wapinzani sehemu nyingi hawakuwa ht na wagombea sasa hiyo tume ikamchukue mtu mtaani na kumtangaza mshindi wa chadema? Umepewa taarifa upinzani wote wagombea walikuwa 30% tu, hata wangeshinda wote CCM ingeshinda kwa 70%. Nyie ni kundi la jamii lililokata tamaa. CCM ina mizizi kutoka mabalozi wa nyumba 10 na kwote kupo active sana. Nafasi kupitia CCM inagombaniwa km lulu kuanzia mashinani, vitongojini mpk kijijini mpk unashangaa wanapata nini, unakuja kujua ni uzalendo tu watu wanataka kutumikia nchi yao, na chama wanachokijua ni CCM, CCM haiwezi kutolewa kwa hizi ghadhabu za humu mitandaoni wapiga kura wa kweli ht hawajui hv vt vyenu. Kuwatoa CCM si leo wala kesho bado sana.
Kuteuliwa na Rais nongwa?Hata majaji wa Supreme Court ya USA wanateuliwa na Rais.Hawawezi kujiteua wenyewe.Majaji wote si kawateua Rais? Tatizo liko wapi