PreGE2025 John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hujanifahamu na umevamia post. Punguza jazba. Umeona leo Gambo wa kulalamika kwa wanaccm? Dunia ni dynamic and not static
Issue ya Gambo imenifikirisha sana, huyu nae wa kuilalamikia CCM....wacha wamkaange ingawa huenda ana point
 
Hujanifahamu na umevamia post. Punguza jazba. Umeona leo Gambo wa kulalamika kwa wanaccm? Dunia ni dynamic and not static
Umeanza kumfuatilia Gambo leo?2022 alilalamika pia kwa Mwigulu kwani sio ndio kazi yake bungeni?Ulitaka afanye nini?
 
Gambo si alikua mkuu wa mkoa? Ukimsikia akilalamika? Au akilalamikiwa yeye?
 
Sasa akiwa Mkuu wa Mkoa alalamike nini?Si ndio Serikali yeye anapaswa kulalamikiwa na kuhojiwa.
 
Heche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
Minaonahukumuitolewenaadhabustahikiitolewekwamtuhuyuanaesemasemakuhusuhakizawatuwasiojuahakizao
 
Yaani unajidai kusimamia mabadiliko ya sheria halafu unataka Katiba na sheria za nchi zivunjwe? Rais ni Jaji Mkuu au DPP? Ovyo sanaa!πŸ™πŸ™πŸ™
 
Heche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
Tuna kivuko cha Gambo!
 
Heche hana akili kabisa... anataka Rais aingilie uhuru wa mahakama kisa aliyekamatwa ni kiongozi wao? Kama hana kosa mahakama ndo itaamua na sio Rais. Mawakili wa Lissu wamtetee mteja wao. CHADEMA ni laana kwa taifa.
Wewe chawaccm ndiyo huna Akili kwani hujui kuwa mahakamaccm inaingiliwa na ccm? Polisiccm kupiga watu kwenye viunga vya mahakama ni kuingilia mahakama, kesi ya kubambika ni kuingilia mahakama kwani umewapelekea kesi ya Uongo ili watoe maamuzi haramu ya kishetani
 
Big point, inahitaji mipango madhubuti sana, kumuondoa CCM sio kitendo cha kulala na kuamka, kumuondoa CCM sio kupiga makelele mitandaoni na kutukana kila mtu !
MIPANGO, MIPANGO TENA MADHUBUTI
 
Yaani unajidai kusimamia mabadiliko ya sheria halafu unataka Katiba na sheria za nchi zivunjwe? Rais ni Jaji Mkuu au DPP? Ovyo sanaa!πŸ™πŸ™πŸ™
Aliyetengeneza hiyo kesi ni huyo Rais kwa kuwatuma Polisiccm na DPP ni mteule wa ccm kwenye mahamaccm
 
Big point, inahitaji mipango madhubuti sana, kumuondoa CCM sio kitendo cha kulala na kuamka, kumuondoa CCM sio kupiga makelele mitandaoni na kutukana kila mtu !
MIPANGO, MIPANGO TENA MADHUBUTI
Humu mitandaoni ujumbe hufika kwa haraka zaidi na wao licha ya manyanyaso yao huwa wakijilaumu wakosoma jinsi watu walivyochoka na uonevu
 
Mabeyo ndio alikuwa na sifa za kufanya uhaini

Ila mabeyo akaonyesha uzalendo

Sasa Samia analazimisha uhaini kwa nn?
Maandiko yanasema "Aogpacho mtu asiye haki ndicho kitakachompata". Sasa hawa viongozi ambao wanawaza mambo ya ugaidi na uhaini wanamaanisha nini? Isije ikawa wanatabiria nchi kuja kupata magaidi na mahaini kutokana na hofu zao.
 
Polisiccm wamebambika kesi ya Uongo na kuupeleka mahakamaccm unategemea haki hapo?
 
Maandiko yanasema "Aogpacho mtu asiye haki ndicho kitakachompata". Sasa hawa viongozi ambao wanawaza mambo ya ugaidi na uhaini wanamaanisha nini? Isije ikawa wanatabiria nchi kuja kupata magaidi na mahaini kutokana na hofu zao.
Ghana, Zambia, Senegal walifanya haya haya mambo ya hovyo ya ccm baadae kilichokuja kuwakuta wanajutia hadi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…