John Heche amwambia Ndugai kesho anaingia bungeni na hakuna wa kumzuia

Ukitaka kuyajua ya Ndugai kamuulize Assad.

Ndugai fujo kama hizo za kuuza majina ndo anazipenda.

Sasa we Heche jitoe ufahamu, utapigwa na kitako cha bunduki mbele ya uwanja wa bunge na ndani usiingie.
 
Heche wewe ndiye kidume cha mbegu
 
Ila kabudi ni mtu mzima sana, uongo mwingine wa ajabu kabisa na wa kujidhalilisha!
 
Sasa na Heche siatulie maana kule Bungeni anapotaka kwenda wenzie hawajapima bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…