John Heche amwambia Ndugai kesho anaingia bungeni na hakuna wa kumzuia

John Heche amwambia Ndugai kesho anaingia bungeni na hakuna wa kumzuia

Kwa hiyo kumi ndio kigezo chako? Yaani ni jibu kama la mtoto wa chekechea akiulizwa uko darasa la ngapi atajibu "la kumi". Hivyo, nina uhakika ni namba tu umeitaja. Kwa nini wasiwe tisa au kumi na moja? Hata vile uhakika wa idadi yako hiyo si ndugu zako. Na kwa nini nawe usiwe mmoja wao idadi ifike 11?

Tanzania bila COVID-19 inawezekana ikiwa kila mtu atatimiza wajibu wake.

JILINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE UWAPENDAO

Unaongea utoto gani we dogo? Mnasema wapinzani ndio wanapika data, nimekuambia idadi wangalau niliyokuwa na uhakika nayo. Hivi we mwengeso unadhani bado watu hawajitambui ama?
 
Unaongea utoto gani we dogo? Mnasema wapinzani ndio wanapika data, nimekuambia idadi wangalau niliyokuwa na uhakika nayo. Hivi we mwengeso unadhani bado watu hawajitambui ama?

Mimi siyo dogo na kwa kujifanya unanijua inathibitisha jinsi usivyojua kuwa hujui.

Watanzania wanajitambua na ndiyo maana wanaendelea na maisha yao kama jana, juzi na kesho. Nchi ambazo viongozi wake walilazimisha wananchi wao "lockdown" wametambua njia hiyo siyo sahihi.

Wabunge wa upinzani waliolazimishwa kujifungia na Kiranja wao, wamerudi Bungeni ambako walikimbia kuambukizwa, kwani wenzao walio wadhania kuwa na maambukizi bado wapo.

Ninyi mnaodai Tanzania Serikali inaficha takwimu, mtambue kuwa nafsi zenu zinajutia uwongo wenu wa mchana kweupe.

Nakukumbusha na kukuhimiza, nawe uwahimize unaowapenda kuwa COVID-19 ni ugonjwa hatari, hauna tiba au chanjo kwa sasa.

JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE WAPENDAO.
 
Ameshapona?!

Ndugai anachotaka ni cheti tu kutoka Mkapa hospital!
Hivi na yey tumdai cheti maana alitumia mabilions ya pesa india kwa ugonjwa ambao mpaka saiz haufahamiki.Ndugai angekua anatumia common sense tu asingekua anavimbisha bichwa lake sema tu ndo hvyo tena jiwe anamtumia atakavyo
 
Nina watu kumi ninaowafahamu kwa uhakika wamekufa kwa Corona. Hawa nina uhakika nao wala sihadithiwi. Iko hivi, taarifa za maambukizo na vifo zinafichwa na hilo halina mjadala, labda mjadala uwe kuhusu sababu hasa za kuficha taarifa.

Ulivyojua wamekufa ukachukua hatua ipi?
 
Back
Top Bottom