John Heche amwambia Ndugai kesho anaingia bungeni na hakuna wa kumzuia

John Heche amwambia Ndugai kesho anaingia bungeni na hakuna wa kumzuia

Jamaa kashafanya Bunge mali yake!! Hajui kuna siku atakuwa a asinzia sinzia huko kwako kongwa huku Bunge likiendelea...

Vi maisha hivi ni vya kupita tu ewe mwanadamu, jeuri, kiburi na kuwabeza wenzako hazikusaidii sana!!

Haya ma vyeo ya duniani ukiwa mwanadamu mwaninifu kabisa huwa hayana maana yoyote!!
 
Hatafanikiwa. Ndugai ni dikteta uchwara flani hivi na Heche atapata taabu sana akijaribu kulisogelea geti la Bunge
 
Ameshapona?!

Ndugai anachotaka ni cheti tu kutoka Mkapa hospital!
uanawashwa wewe, amekwambia anaumwa?
MATAGA mna ugonjwa mbaya kuloko "koona"
CHETI aje nacho alikuwa mgonjwa? si aliamua yeye na wabunge wenzake kujitenga kwa siku 14 kuangalia hali ya afya?

Spika na wenzake ndio watoke wapimwe ili wasiambukize hawa waliotoka self-karantini
 
😂😂😂 sema hii nchi ni ngumu sana..
Kesho na mimi nitakua na press conference nitaongelea kuhusu simu yangu kuisha charge mara kwa mara tofauti na wakati wa awamu ya 4 ambapo nilikua namaliza siku mbili bila kucharge na simu haiishi na charge.
 
Soma hapo.
Tanzania hatujui!
Screenshot_20200514-233953.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom