Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwa hiyo kumi ndio kigezo chako? Yaani ni jibu kama la mtoto wa chekechea akiulizwa uko darasa la ngapi atajibu "la kumi". Hivyo, nina uhakika ni namba tu umeitaja. Kwa nini wasiwe tisa au kumi na moja? Hata vile uhakika wa idadi yako hiyo si ndugu zako. Na kwa nini nawe usiwe mmoja wao idadi ifike 11?
Tanzania bila COVID-19 inawezekana ikiwa kila mtu atatimiza wajibu wake.
JILINGE UMKINGE JIRANI
JILINDE UWALINDE UWAPENDAO
Unaongea utoto gani we dogo? Mnasema wapinzani ndio wanapika data, nimekuambia idadi wangalau niliyokuwa na uhakika nayo. Hivi we mwengeso unadhani bado watu hawajitambui ama?