CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,784
Kikwetu tuna msemo tunasema:
What goes around comes around.
Kijijini kwetu tunatumia sana huo msemo mara kwa mara.
JJ Mnyika aliwahi kumwambia JK kuwa ni Rais dhaifu. Hahahahaha.
Lakini sasa kajamaa ni SG wa CHADEMA naona ndio dhaifu kuliko maelezo.
Ni dhahiri CHADEMA haina vetting nzuri. Badala ya kumpa John Heche ukatibu Mkuu mkampa JJ Mnyika.
John Heche akiwa Mwenyekiti Bavicha alitusumbua sana huyu fala hahahaha. Na kipindi hiko ndio akina JJ Mnyika wakawa wanang'aa sana.
Yaani CHADEMA inamtoa Mashinji (Mzee wa I have a family to feed not a community to impress hahahaha words of a 'timid person' if I have to respect him coz real men don't talk cowardly shits like this on Earth); mara paaap ikampa JJ Mnyika usukani.
Ona sasa, chama wala hakitetemeshi tena hiki, yaani li chama kama Mbwa Mzee . Mbinu zake zote zinatabirika hahahahaha.
John Heche kaokoe chama chenu.
By the way, Mr. Mbowe is the most genuine opposition leader ni the country. I salute him.
Ila it takes more 100 years CHADEMA kuchukua nchi, maana CCM ni manyang'au and they change according to the beat.
Viva CCM.