Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kwani Magufuli asingekufa Samia angekuwa mwenyekiti sasa hivi ?Siku Chadema mkiamka nakukubali kuwa Mbowe IS NOT YOUR FUTURE, mtakiokowa chama na kusonga mbele. Huwezi kupoteza mwelekeo wa chama na ajenda zake kupotea eti kwasababu mtu mmoja ana kesi na hujui hiyo kesi itaisha lini. Ukitazama macho ya Mnyika huku mdomo umefunikwa na barakoa, utaona macho yasema let's move on guys ila mdomo usema mengine. Fikiria kama CCM wangebaki na kukumbatia yale yale ya Magufuli, mpaka leo wangekuwa hawana mwenyekiti na chama hakina muelekeo, leo wangekuwa wa wapi?
Lini CCM imeacha kutumia mabavu iliyokuwa inayatumia chini ya Magu ?