Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
.KAZI ya Ukombozi wa fikra iendelee!
AmenTulianza na Mungu....na Tunamaliza na Mungu
Kila Mtanzania kwa Dua zake ...hata kwa Mbuyu omba tu Mkoloni mweusi AFUTIKE AFRIKA
Mama hatogombea 2025Kuing'oa CCM madarakani au kuing'oa kwenye viyti viwili vitatu vya bungeni?
Hivyo vya bungeni hata 60 tutwapa, usiwe na wasiwasi, mwendazake aliwafanyia faulo sana. Mama ni mstaarabu.
Hapo umesema, kuna huyo wakupambana nae?Mama hatogombea 2025
Uliza gazeti la UhuruHapo umesema, kuna huyo wakupambna nae?
Kila siku siyo JumapiliWametikisa wengi tu. Na hakuna aliye weza....hata na miungu yao.
Ila, wapinzani huwa wanajing'oa wenyewe.
Chagua kwa Umakini 2025
watu ndiyo kwanza tupo mwaka wa uchaguzi mdogo. Kwanza tunawagaragaza hapa halafu na huko mbele ndiyo mtatafutana.Kila siku siyo Jumapili
Wamejibu Chuji.Uliza gazeti la Uhuru
Rudi kwenuKuing'oa CCM madarakani au kuing'oa kwenye viyti viwili vitatu vya bungeni?
Hivyo vya bungeni hata 60 tutwapa, usiwe na wasiwasi, mwendazake aliwafanyia faulo sana. Mama ni mstaarabu.
Mtakubali tu kula kaboflo na asali fika 2025, na huo ndio utakuwa mwisho wenu.Kila siku siyo Jumapili
Picha za zamani tunataka ya jana!Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , John Heche leo tarehe 10/01/2024 , amefika Kilombero na kuhutubia Maelfu ya Wananchi , ambao kwa Kauli moja wamekubaliana kuing'oa CCM madarakani kwa Udi na Uvumba 2025.
Habari kamili hii hapa.
View attachment 2867876View attachment 2867877View attachment 2867878View attachment 2867879
Wahuni banaMjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , John Heche leo tarehe 10/01/2024 , amefika Kilombero na kuhutubia Maelfu ya Wananchi , ambao kwa Kauli moja wamekubaliana kuing'oa CCM madarakani kwa Udi na Uvumba 2025.
Habari kamili hii hapa.
View attachment 2867876View attachment 2867877View attachment 2867878View attachment 2867879