Pre GE2025 John Heche atikisa Kilombero ni katika Maandalizi ya kung'oa CCM 2025

Pre GE2025 John Heche atikisa Kilombero ni katika Maandalizi ya kung'oa CCM 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Namkubali sana John Heche.

Nilishasema, kombinesheni ya Halima Mdee kama mgombea na Mwenza wake awe J.H itakuwa Tafrani.

Vyovyote vile, iwe ni Urais wa Jamhuri au Uongozi wa Chama. Hii tikisha kweri kweri kama pilipili, kilombero sukari.
 
Una kichwa kigumu sana
Ww ndio una kichwa Kigumu. Inaonekana maths ilikupita pembeni kabisa. Haiwezekani MTU akienda sehemu, akalakiwa na umati tayar ametikisa. Huo ni uwezo mdogo wa, kuchambua, Mambo. Sasa, tusubir Samia, aende hapo Kilombero na umati Mara, mbili ya Heche utokeze. Tutasema Samia atikisa Kilombero na ni uhakika, atashinda uchaguz.
 
Saccos ya wachaga mgombea wenu nani 2025?

Hapo sasa.
 
Wakati wa Magufuli ulijificha kwenye matope kama Kambale
Kila mtu yupo huu na fikra zake. Nani mwenye akili zake alikaa anangoja aadhiriwe?

Mbowe alijificha Ukonga. Ai siyo?
 
Saccos ya wachaga mgombea wenu nani 2025?

Hapo sasa.
Ndugu wana CDM, mmechambua vyeti vya Nape, PhD ya Kitila Mkumbo. Naomba sasa tuchambue cheti cha form cha mwenye kiti wa kudumu anayedai democracy Mbowe Freeman.
 
Ndugu wana CDM, mmechambua vyeti vya Nape, PhD ya Kitila Mkumbo. Naomba sasa tuchambue cheti cha form cha mwenye kiti wa kudumu anayedai democracy Mbowe Freeman.
Nje ya mada
 
Nje ya mada
Hiyo ni me to a taarifa tu ili kama kweli, sio wachumia tumbo watuambie pia na mwenye kiti wa kudumu CDM cheti chake kimekaa VIP, na, kwann ana kuwa kiongoz wa chama kinachodai eti kinataka kutawala nchi wakati ana zero ya form four tu.
 
Hujui kitu halafu unakuja jf kuleta uongo ! Unatia aibu sana !
 
Kuing'oa CCM madarakani au kuing'oa kwenye viyti viwili vitatu vya bungeni?

Hivyo vya bungeni hata 60 tutwapa, usiwe na wasiwasi, mwendazake aliwafanyia faulo sana. Mama ni mstaarabu.
Ustaarabu gani, atutajie mwenye mzigo wa tani tatu za madawa ya kulevya
 
Back
Top Bottom