Haya matumaini mnayojipa ndugu zangu wa Chadema ni matumain hewa.Wingi wa watu kwenye mikutano sio kwamba watakupigia kura.Hata Dr Samia akisema, anakwenda huko Kilombero leo, watahudhuria maelfu ya watu.Kwa hiyo msijipe matumain hewa. Inaonekana hata hesabu za probability hamjui.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , John Heche leo tarehe 10/01/2024 , amefika Kilombero na kuhutubia Maelfu ya Wananchi , ambao kwa Kauli moja wamekubaliana kuing'oa CCM madarakani kwa Udi na Uvumba 2025.
Habari kamili hii hapa.
View attachment 2867876View attachment 2867877View attachment 2867878View attachment 2867879