Pre GE2025 John Heche atikisa Kilombero ni katika Maandalizi ya kung'oa CCM 2025

Pre GE2025 John Heche atikisa Kilombero ni katika Maandalizi ya kung'oa CCM 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Picha za zamani tunataka ya jana!
Haya ya Jana ni hiyo wakati upo kazini pale burigi
1671686909.jpg
 
Haya matumaini mnayojipa ndugu zangu wa Chadema ni matumain hewa.Wingi wa watu kwenye mikutano sio kwamba watakupigia kura.Hata Dr Samia akisema, anakwenda huko Kilombero leo, watahudhuria maelfu ya watu.Kwa hiyo msijipe matumain hewa. Inaonekana hata hesabu za probability hamjui.
Wacha kudandia mambo ya cdm
 
Mm naenda kwa takwimu au statistics. Sio mshabiki maandaz. Samia alikwenda Kigoma, tuliona maelfu ya watu ma barabarani. Je,Hao wote watampigia??? Heche amekwenda, Kilombero tumeona mamia ya watu kwenye mikutano. He hao wote watampigia CDM? Tuwe na akili kidogo ya kufikiria.
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
 
Kama chama hampaswi kumtegemea Heche kuleta upinzani wa kweli nchi hii... Napenda achukue jimbo la tarime vijijini sio kwa sababu anapendwa....ni kwa sababu asili ya watu wa tarime wanapenda kuwa againist utaratibu wowote ule....na pia waitara amepwaya sana.
Hivi Waitara kuna wakati aliwahi kung'ara ?
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , John Heche leo tarehe 10/01/2024 , amefika Kilombero na kuhutubia Maelfu ya Wananchi , ambao kwa Kauli moja wamekubaliana kuing'oa CCM madarakani kwa Udi na Uvumba 2025.

Habari kamili hii hapa.

View attachment 2867876View attachment 2867877View attachment 2867878View attachment 2867879
mbwembwe zote mkiitwa ikulu mkapewa vijuisi mnalegea,,,,,,,,,,,acha na mwaka huu mkale futari mpige ma selfie ,mkitoka 2025 watu wanabeba nchi kilainiii
 
Back
Top Bottom