SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Kwa hiyo Samia akienda Kilombero na akakusanya maelfu barabarani tutasema pia SAMIA kushinda uchaguz huu. Teache kushinda kwa fikra ndogo.CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Una kichwa kigumu sanaKwa hiyo Samia akienda Kilombero na akakusanya maelfu barabarani tutasema pia SAMIA kushinda uchaguz huu. Teache kushinda kwa fikra ndogo.
Kwani Idi Amin alikufanya nini? Au umejazwa ujinga ukakujaa?Mbona unaingea kinyonge sana?
Mwendazake angekuwa ni muislam hata kama angekuwa kama Idi Amini ungemsifia
Kwa hizo "wishful thinking"?Utamkimbiza Fayza jamvini
Ww ndio una kichwa Kigumu. Inaonekana maths ilikupita pembeni kabisa. Haiwezekani MTU akienda sehemu, akalakiwa na umati tayar ametikisa. Huo ni uwezo mdogo wa, kuchambua, Mambo. Sasa, tusubir Samia, aende hapo Kilombero na umati Mara, mbili ya Heche utokeze. Tutasema Samia atikisa Kilombero na ni uhakika, atashinda uchaguz.Una kichwa kigumu sana
Kila mtu yupo huu na fikra zake. Nani mwenye akili zake alikaa anangoja aadhiriwe?Wakati wa Magufuli ulijificha kwenye matope kama Kambale
Ndugu wana CDM, mmechambua vyeti vya Nape, PhD ya Kitila Mkumbo. Naomba sasa tuchambue cheti cha form cha mwenye kiti wa kudumu anayedai democracy Mbowe Freeman.Saccos ya wachaga mgombea wenu nani 2025?
Hapo sasa.
Nje ya madaNdugu wana CDM, mmechambua vyeti vya Nape, PhD ya Kitila Mkumbo. Naomba sasa tuchambue cheti cha form cha mwenye kiti wa kudumu anayedai democracy Mbowe Freeman.
Hiyo ni me to a taarifa tu ili kama kweli, sio wachumia tumbo watuambie pia na mwenye kiti wa kudumu CDM cheti chake kimekaa VIP, na, kwann ana kuwa kiongoz wa chama kinachodai eti kinataka kutawala nchi wakati ana zero ya form four tu.Nje ya mada
Hujui kitu halafu unakuja jf kuleta uongo ! Unatia aibu sana !Hiyo ni me to a taarifa tu ili kama kweli, sio wachumia tumbo watuambie pia na mwenye kiti wa kudumu CDM cheti chake kimekaa VIP, na, kwann ana kuwa kiongoz wa chama kinachodai eti kinataka kutawala nchi wakati ana zero ya form four tu.
Ustaarabu gani, atutajie mwenye mzigo wa tani tatu za madawa ya kulevyaKuing'oa CCM madarakani au kuing'oa kwenye viyti viwili vitatu vya bungeni?
Hivyo vya bungeni hata 60 tutwapa, usiwe na wasiwasi, mwendazake aliwafanyia faulo sana. Mama ni mstaarabu.
Basi tutaleta cheti hapa na Twitter ili tuzagamue Mambo.Hujui kitu halafu unakuja jf kuleta uongo ! Unatia aibu sana !