....Kweli Hatujiamini !....Hata Kuzika TU ?? ππMnazuia hata watu kuzika? Dah
Ili uwe kwenye hivyo vyombo lazima ufeli form fourKwamba Polisi na uhamiaji huwa wana lishwa nini huko mafunzoni kwao..,?
Hivi haiwezakani kwao kukataa Amri za kijinga jinga kweli..?
Katiba mpya ni muarobaini wa Yote haya
Kuzika tu ndugu yangu...kuzika maiti tu...kuaga tu Ile maiti kwa Heshma tu na kutoa mkono wa pole kwa familia ..Hilo tu.......Kweli Hatujiamini !....Hata Kuzika TU ?? ππ
Ha haaa π€£CHINA AID πππ
Scanner for national security inatoka kwa msaada wa watu wa China?
Wapi ameivimbia serikali?Hivi kwa haya yanayoendelea,je CHADEMA kwa nini wasisalimu amri kwa muda ili wajipange upya?? Maana sioni mwisho mwema kwa kuvimbiana na serikali namna hii
Robert Heriel Mtibeli unasemaje juu ya hili?
Ukiwa Chadema kokote ulipo usiue hata Paka ...utajikuta una kesi ya Mauaji....mpaka aje kujulikana aliyeuwawa ni paka Mitano Tena ππJPM alisingiziwa mabaya mengi sana
AbdulNani kabaki?
ameivimbiaje serikali?Hivi kwa haya yanayoendelea,je CHADEMA kwa nini wasisalimu amri kwa muda ili wajipange upya?? Maana sioni mwisho mwema kwa kuvimbiana na serikali namna hii
Robert Heriel Mtibeli unasemaje juu ya hili?
Kwani ulitaka itoke wapi ndio uridhike?πCHINA AID πππ
Scanner for national security inatoka kwa msaada wa watu wa China?
Ndio mkome, kiherehere kiwaishe maana mlimuimbia mapambio ya anaupiga mwingiHuyu mama ametuharibia sana nchi yetu!.