John Heche azuiliwa mpaka wa Sirari akiwa anaelekea Kenya kwenye mazishi ya Odinga

Pamoja na mapungufu mengi, lakini kwa hakika nchi yetu haijawahi kuwa na utawala mbaya, na wa ajabu kupindukia, kama huu wa sasa.

Tulimlaumu hayati Magufuli, lakini hayati akilinganishwa na hawa wa sasa, ataonekana alikuwa malaika.
 
Hapo jamaa kawaheshimu tu, si kwamba alishindwa kupitia chocho akaingilia mipakani, ukiwa Tarime kuingia Kenya ni chap sana, tena kama Heche anavyokubalika na Kenyans angeingia chap sana.
 
Kwani ulitaka itoke wapi ndio uridhike?πŸ˜‚

Cc: Mimi Wewe Yule

​

Shida siyo kilipotoka kifaa hiko ch ulinzi wa taifa letu. Shida ni upatikanaji wake. Unapita mpakani na unakutana na kifaa cha ulinzi kina nembo ta taifa jingine? aah ah!

Hii ni sawa na mkeo ananunuliwa zawadi ya nguo za ndani na rafiki zako washikaji.
 
hivi ndugu zetu wa kenya hamuwezi kutusaidia yule rais kivuli asirudi tz??? tusaidieni jamani wakenya nyie ni ndugu zetu
 
Hivi kwa haya yanayoendelea,je CHADEMA kwa nini wasisalimu amri kwa muda ili wajipange upya?? Maana sioni mwisho mwema kwa kuvimbiana na serikali namna hii

Robert Heriel Mtibeli unasemaje juu ya hili?
ACT wamesalimu wamepata nini? si wamezuiwa kugombea Urais.

ccm hata ujikombe kwao bado watakumaliza ona tu NCCR kilichowakuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…