Pre GE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Heche angefaa kuwa chairman.. ni zaidi ya Lissu
 
Labda kabla ya heche unge twambia wewe ni nani?
Mwandishi uchwara ?
Mwanasiasa uchwara?
Au kumiliki simu na bando kuna mfanya mtu kuwa mchambuzi uchwara?
"Uvivu tu wa kulima"View attachment 3193933
kilimo si ndio uti wa mgongo wa Taifa gentleman, tujifunze kujitegemea ndrugo zango πŸ’
 

Attachments

  • IMG_20240105_131751_7.jpg
    2 MB · Views: 1
Tunataka Kupata direction mpya Mbowe amekuwa kwenye Power for 20 yrs, Watawala wameshamzoea apishe watu wengine watu lead ili tupate Direction mpya
 
Hakuna Kitu Mbowe atafanya Kwa hio miaka mitano anayotaka Mana anaelekea kwenye retirement age ambayo atashindwa Kufanya Active Politics matokeo yake miaka hii mitano anayolilia atajitahidi tu Kuwekeza Zaidi na Kuijenga familia yake vizuri ili akitoka kwenye active politics afurahie
Hakuna Kitu atafanya for the sake of the Party
 
Takataka
 
jikite kwenye hoja gentleman bila kua na makasiriko na mtu yeyote πŸ’
 
ya chadema yanakuhusu nini wewe???
 
Tunataka Kupata direction mpya Mbowe amekuwa kwenye Power for 20 yrs, Watawala wameshamzoea apishe watu wengine watu lead ili tupate Direction mpya
Gentleman,
nani kwa mfano amezuiwa asipite kwa mfano na huyo muungwana unae mchukia πŸ’
 
ya chadema yanakuhusu nini wewe???
Gentleman,
Chadema si ni mali ya umma na iko kwenye public domain?

kwani wewe ni nani hata uwe na uchungu sana na gubu na chadema zaidi ya John Heche?πŸ’
 
Siku hizi JF imeshuka hadhi,akili kama za huyu kuku maji πŸ€”.

Uone basi hata aibu,maiti zinazozembea ni miongoni mwa hii.
maana wadau wengine mmejaa mihemko tu na hamna mawazo mapya wala fikra mbadala,

sijui ni kwasababu mnaendekeza ushirikiana ndio maana makasiriko yamewatawala zaidi ya hoja πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…