John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

Wanasiasa buana.........😀😀

Mtu akifa hawezi kujibu,ukimzungumzia inakuwa ni umbea tu
 
Kwani kaka yake mbowe aliyeenda na corona yuko wapi
Hayo Manyumbu kazi yao kushangilia kifo cha Magufuli!
Yule binti wa Mbowe miaka 30 tu kafariki alikuwa mbaya kama Magufuli wanavyotaka kutuaminisha hapa!
These people are so stupid!
 
Yupo wapi Ben sanane na Anzory Gwanda?
Unaushahidi gani waliuliwa na Magufuli? Wangapi leo wanakufa kiutata mfano!
1.Wafanya kazi wa CAG wawili mwanaume na mwanamke walifia nje ya nchi mwaka 2022,hapo vipi nani anahusika?
2.Wafanyabiashara Wawili Singida wamepotea mpaka leo mbona husemi kama ni Samia?
3.Mme wa dada mmoja huko Kahama kapotea zaidi ya mwaka sasa mbona husemi kama ni Samia ndo kumwondoa?
4.Mdogo wake na Heche mpayukaji mbona amepotea mpaka leo mbona hamsemi kama kipindi kile?
5.Wamasai kuuliwa na kulazimishwa kutoka Ngorongoro mbona husemi?
Kiufupi nyinyi ni wanafiki na wapuuzi tu msio kuwa na maana!
Mnataka kuwaaminisha watu kuwa Magufuli alikuwa anaua watu lakini SAID KUBENEA alisema mmuulize Mbowe Ben Saanane alipo!
Hata Dr Slaa alisema nyinyi mna mtindo wa kutekana ili kuichafua serkali!
Sasa wewe na Said Kubenea au Dr Slaa nani anaujua ukweli juu ya matukio ya kiharifu ya CHADEMA!
Punguzeni ujinga!
 
Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.

Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.

Hongera John Heche, big repect to you
Sawa ngoja tumuulize tusikie upande wa pili
 
Acha uongo nitajie nani aliuliwa na Magufuli? Heche empty head tu na hana maajabu!
Ben Saanane, Azory Gwanda, Mcomoro, wale wa kwenye viroba waliotupwa baharini. Na wale zaidi ya 300 wa MKIRU

Kama mama yako angeuliwa na Magufuli, naamini usingeuliza swali la kipimbi kama hili
 
Kwani wewe mgeni na Jiwe !.Alikuwa na siasa za hovyo kupitiliza.
Mzee hivi vyama ni kama tu timu za mpira ukiona mchezaji flani mzuri na Yuko timu nyingine unaweza kutumia mbinu yyt aje kwako.
Kama itashindikana basi sa we unavoona Kuna uovyo hapo ni Nini?
 
Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.

Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.

Hongera John Heche, big respect to you
Ni mjinga angekubali tu uwaziri angekuwa mbali sana.it is life time opportunity.
 
Yule shetani alikuwa na mazuri? Mshenzi sana yule muuaji wa wananchi wasio na hatia.
Watu wajinga tu ndo wanaweza kusema Magufuli alikuwa muuaji.kwa mfano nikikuambia weka ushahidi Magufuli alimuua nani au weka ushahidi utawala wa nani hakukuwa na mauaji?
 
Lakini hapo sioni shida Magu alikua anatafuta watu makini wakumsaidia na wengi walikua nje ya CCM , hivyo hakusita kuwa fata vyama vingine. Hata wabunge alipenda wawe CCM ili awe boss wao iwe rahisi kuwa wajibisha. (Positive Mind)
 
Watu wajinga tu ndo wanaweza kusema Magufuli alikuwa muuaji.kwa mfano nikikuambia weka ushahidi Magufuli alimuua nani au weka ushahidi utawala wa nani hakukuwa na mauaji?
Ben Saanane, Azory Gwanda, Mcomoro, wale wa kwenye viroba waliotupwa baharini. Na wale zaidi ya 300 wa MKIRU

Kama mama yako angeuliwa na Magufuli, naamini usingeuliza swali la kipimbi kama hili
 
Ni mjinga angekubali tu uwaziri angekuwa mbali sana.it is life time opportunity.
Yule Mwikwabe aliyekuwa Mbunge wa Ukonga alihama na akapewa u-Naibu waziri, je ni nini anachomzidi Heche ? Nafikiri ni ulevi tu
 
Lakini hapo sioni shida Magu alikua anatafuta watu makini wakumsaidia na wengi walikua nje ya CCM , hivyo hakusita kuwa fata vyama vingine. Hata wabunge alipenda wawe CCM ili awe boss wao iwe rahisi kuwa wajibisha. (Positive Mind)
Unatafutaje mtu nje ya CCM kwa kumrubuni kwa fedha za walipa kodi? Halafu unaitisha uchaguzi kanyaboya kwa kutumia fedha za umma!!

Hivi Nijosnotes unatumia akili kweli kwa hicho ulichoandika au makalio? Yaani munakuwa obsessed na Magufuli mpaka mnahalalisha uvunjaji sheria na katiba (you condone impunity)
 
Ndio mwisho nimeweka positive thinking hata hivyo ameshapumzika, hakuna kilichotokea tunachoweza kubadili.
Kama tupo kwenye njia sahihi basi tuinadi kwanguvu hii njia sahihi.
 
Ndio mwisho nimeweka positive thinking hata hivyo ameshapumzika, hakuna kilichotokea tunachoweza kubadili.
Kama tupo kwenye njia sahihi basi tuinadi kwanguvu hii njia sahihi.
Kwa vile hawezi kujibu ndiyo tukae kimya tusimkosoe? Mbona kwenye kumsifia hamsemi kwa vile amepumzika tuache kumsisfia
 
Back
Top Bottom