John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa TZ si mtu wa kum-approach takataka km hiyo. Ameona amesahaulika anatafuta namna ya kutrend huyo nyumbu
Huyo anapenda kutumia maguvu sana kwenye hoja zake! Magufuli alikuwa anamjua sana Heche kwanza ana kiburi na kujifanya a ajua sana!
Huyo ni mhuni na tapeli tu Magufuli ajipendekeze kwa Heche ili iweje?
 
Tatizo wanasiasa wa kitanzania si wa kuamini. Kwa kuwa hawana uwezo wa kufanya kaz za kitaalam. Kwa hiyo ni kufanya siasa, na kuongea uongo uongo tu.
Hakuna popote Heche amekuomba umwamini.
 
Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.

Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.

Hongera John Heche, big repect to you
Heche huyu huyu aliyenunuliwa na Lowassa na kuanza kulamba matapishi yao waliokuwa wanamtapikia Lowassa , ndiye aliyekataa uwaziri wa Magufuli au kuna Heche mwingine; uchaguzi unakaribia tunasikia mengi.Chadema pale wakusema angalau tukamwamini ni Myika tu wengine ni vibaraka wa Mbowe.
 
Angesema akiwa hai
Halafu ashambuliwe na risasi kama Lissu?

Wajanja walijuwa Magufuli ana magonjwa mtambuka (HIV, Diabetes, Herpes Zoster, Mental) huku akiwa kawekewa pacemaker kusaidia mapigo ya moyo. Na walijuwa hakatizi 2023, walisubiri AFE ndiyo wamuanike uozo wake. Wangesema akiwa hai angewaua
 
Magufuli am-approach huyo alikosa nini. Hao wamechanganyikiwa
Kwani Magufuli alikuwa na akili? Mashngaa wajinga wanamuona eti alikuwa genius? Genius wa Kolomije? Ndiyo atulangie namna ya kuishi na kutengeneza fedha Dar??
 
Kwani Magufuli alikuwa na akili? Mashngaa wajinga wanamuona eti alikuwa genius? Genius wa Kolomije? Ndiyo atulangie namna ya kuishi na kutengeneza fedha Dar??
Wewe kama una akili sana si uondoke kwa shemj yako mnapolishwa na dada yako

Shog*" wewe
 
Pole, magu alikuwa na siasa za kitoto ile mbaya. Na hayo madaraka ya urais ndio yalionyesha udhaifu wake kama mwanasiasa. Alikuwa analazimisha sana kukubalika hata kwa wasiomkubali. Inshort alikuwa anapenda siasa, wakati siasa zilikuwa hazimtaki.
Pole Magu hayupo duniani kwa sasa. Amefanya makubwa sana ambayo mpaka umoja wa, mataifa walimkubali. Je, ww ndugu yetu ungali unavuta hewa ya dunia, umeshafanya nnn mpaka ukumbukwe? Au ndio upo nyuma ya keyboard tu. ?
 
Mwingine katolewa jela usiku kapewa ubunge wa viti maalum sishangai Heche kusema hayo ule utawala ni kumuomba Mungu lisijetokea shetani kama lile.
 
Wewe umeshakuwa affected psychologically....mwacheni mwamba apumzike.
Hao chadema so far wamefanya nini zaidi ya kubugia ruzuku tu?...
Hiyo Avatar uliyoweka inadhihirisha chuki....huyo jamaa yako kwenye avatar hawezi kumsahau Chuma pale Butimba...
CCM wamefanya nini miaka 5 iliyopita, nionyeshe mradi mmoja wapo wa ccm nchi hii na linganisha mabilioni wanayopokea kila mwezi, usije taja miradi ya serikali, nimesema miradi ya ccm.
 
Pole Magu hayupo duniani kwa sasa. Amefanya makubwa sana ambayo mpaka umoja wa, mataifa walimkubali. Je, ww ndugu yetu ungali unavuta hewa ya dunia, umeshafanya nnn mpaka ukumbukwe? Au ndio upo nyuma ya keyboard tu. ?
Hizo sifa zinamsaidiaje Magu huko aliko??
 
Pole Magu hayupo duniani kwa sasa. Amefanya makubwa sana ambayo mpaka umoja wa, mataifa walimkubali. Je, ww ndugu yetu ungali unavuta hewa ya dunia, umeshafanya nnn mpaka ukumbukwe? Au ndio upo nyuma ya keyboard tu. ?
Amefanya hayo kama waziri, na rais, sijahi kuwa na cheo chochote. Mimi nimeotesha miti zaidi ya 5,000. Na sihitaji kukumbukwa na yoyote.
 
Amefanya hayo kama waziri, na rais, sijahi kuwa na cheo chochote. Mimi nimeotesha miti zaidi ya 5,000. Na sihitaji kukumbukwa na yoyote.
Yale yale ya Ujinga wa Heche bila udhitibitisho. Unajitamkia tu kipumbavu. Tutadhibitisha VIP. Labda, nikwambie, na nikuondoe Ujinga, hapa dunia hauwez kuongea kitu bila udhitibitisho. Ukiongea bila udhitibitisho utaonekana poyoyo tu.
 
Jenga hoja, za kumtetea sio anakwenda kwenye vyombo vya habari, anaongea chochote bila ushahid. Hizo ni sasa za maji taka. Kila mtu akianza kuongea bila ushahid itakuwaje.
Umejaribu kumuomba Heche ushahidi akashindwa kutoa? Au unaandika namna akili yako inakutuma?
 
Yale yale ya Ujinga wa Heche bila udhitibitisho. Unajitamkia tu kipumbavu. Tutadhibitisha VIP. Labda, nikwambie, na nikuondoe Ujinga, hapa dunia hauwez kuongea kitu bila udhitibitisho. Ukiongea bila udhitibitisho utaonekana poyoyo tu.
Hata wewe ni poyoyo kwa kudhani Heche hana ushahidi.
 
Back
Top Bottom