John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

Heche anafanya upumbavu tuu, Sasa mtu alishakufa angenyamaza tuu hakuna namna ya kuthibisha au kukanusha. Yeye anagombea mwakani hilo ndo la msingi.
Hittler alikufa miaka mingi lakini mpaka sasa uovu wake unaongelewa na kulaaniwa. Magufuli alikuwa na roho ya uuaji, maisha na maisha, atabaki kukumbukwa kama muuaji na katili.
 
Mm na

Mm nathibitisha kuwa huyo ni muongo, kwa kuwa hana ushahid wowote wa video, sauti au maandishi kuwa JPM alimwomba ahamie CCM. Pili, Heche ana nn cha maana mpaka, atakiwe CCM. Ana records gani nzuri ya utendaji wa kazi,hata kwenye Jimbo lake.Zaid ya kupiga kelele tu kwenye mitandao. Hawa, wanatafuta tu kaz za kisiasa kwa faida zao na familia zao. Na huko kwenye ubunge hakuna kitu. Kama kungekuwa, na kitu, wangekuwa wapo vizur sana kimaisha. Wamechokaaaa ingawa walikuwa wabunge.
Pole, magu alikuwa na siasa za kitoto ile mbaya. Na hayo madaraka ya urais ndio yalionyesha udhaifu wake kama mwanasiasa. Alikuwa analazimisha sana kukubalika hata kwa wasiomkubali. Inshort alikuwa anapenda siasa, wakati siasa zilikuwa hazimtaki.
 
Usiamini kila kitu kinachosemwa na wanasiasa. Yaani kusema tu hivyo tayari umeamini kuwa Heche alikuwa approached kuhamia Ccm. Bado safari yetu kama taifa ni ndefu sana
Ni wangapi walihamia, kisha tukaishia kuona chaguzi za kishenzi sana ili warejee kwenye nafasi zao?
 
Muongo mkubwa huyu,kwa nini hakusema kipindi Magufuli akiwa hai.
Mangapi yalisenwa akiwa hai na hakukanusha Wala kukubali? Lisu si alikuwa anamtaja waziwazi kuwa ndio aliagiza ashambuliwe, aliwahi kujibu? Au hayo Heche ndio angeona ya muhimu sana kujibu?
 
Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.

Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.

Hongera John Heche, big repect to you
Magufuli am-approach huyo alikosa nini. Hao wamechanganyikiwa
 
Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.

Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.

Hongera John Heche, big repect to you
Angesema akiwa hai
 
Back
Top Bottom