John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

Cdm haina hela za kutoa kwa wanaccm, ccm ndio wanahela za kuhonga hovyo. Ukiona mwanaccm kaenda cdm ujue anatingisha kibiriti huko ccm, au huko ccm kafanyiziwa hivyo anaenda kujifariji cdm. Shida ya cdm hawagawani vyeo Bali majukumu, ila ccm unaenda kuuza Uhuru wako Ili uwe kwenye mbeleko ya kula cake ya taifa.
Ila hela za posho wanazo.
 
Bila kumtaja Magufuli mwanasiasa unapotea na watu wanakusahau!
Katika_Historia:%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hakuu...jpg
 
Hufahamu nguvu na uwezo wa Heche, pita huko
Mbona huna uwezo wa kujibu hoja? Nilitegemea tutapambana kwa hoja, kumbe mwenzangu mweupe kabisa. Lowasa alisema elimu!! Elimu!! Vijana wengi mnakosa uwezo wa hoja makini kwa kuwa hamna elimu!! Oh!! Mungu wangu taifa langu linaangamia kwa kukosa elimu!! Yaan huyo mwalimu wako Heche mwenye njaa kali, ya kupata pesa za ubunge anatunga uongo wa hovyo ili aonekane.
 
Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.

Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.

Hongera John Heche, big repect to you
Simtetei Magufuli, alichosema Heche hakipingani na tabia za Magufuli.

Ila, ingekuwa vizuri zaidi Heche angefunguka wakati Magufuli yupo hai. Ili tumsikie Magufuli angejitetea vipi. Ili Heche aweze kupata uhalali zaidi kwa uhakiki.

Kwa sasa hivi, hata mimi naweza kusema Magufuli alitaka kunipa uwaziri nikakataa.

Mtathibitishaje kuwa hiyo habari ni kweli au si kweli na Magufuli kashafariki?
 
Kitu ambacho mwanasiasa huenda anaweza asidanganye labda jina la lake
 
Kwa uspesho gani alionao. Aache uongo na uzandiki. Heche waziri my foot!
 
Wataalamu wabobezi kwenye uongo Wanasema ukitaka kusema uongo singizia marehemu aliniambia

Mfano mimi mwenyewe Marehemu Lowassa aliniomba niwe mgombea uraisi wa Chadema nikakataa nilipokataa ndipo akaamua yeye mwenyewe kugombea ila ilimuuma sana mimi nilipokataa
Uongo gani? Kwani kina Katambi, silinde, Waitara n.k hawakupewa walipohamia CCM? Nitajie mwana CHADEMA mmoja tu aliyehamia CCM kipindi cha JPM na hakupewa cheo?
 
Back
Top Bottom